sw_tn/1co/04/05.md

12 lines
273 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa hiyo,msitamke hukumu
Kwa kuwa Mungu atahukumu atakaporudi, tusihukumu.
# atayaleta nuruni mambo yaliyofichika gizani na kufunua makusudi ya mioyo
Mungu ataweka wazi mawazo na dhamira za watu. Hakuna kitakachofichika mbele za Bwana.
# ya mioyo
"ya mioyo ya watu"