sw_tn/1ch/29/14.md

16 lines
379 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Daudi anaendeleza maombi yake sifa kwa Yahweh
# Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, tustahili kutoa kwa hiari hivi vitu?
Daudi anamaanisha yeye na watu wake hawastahili sifa kwa kumpa chochote Yahweh.
# sisi ni wageni na wasafiri mbele zako
"Unajua sisi si wa muhimu"
# Siku zetu katika dunia ni kama kivuli
Vivuli vinatokeza na kutoeka haraka.