# Maelezo ya Jumla Daudi anaendeleza maombi yake sifa kwa Yahweh # Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, tustahili kutoa kwa hiari hivi vitu? Daudi anamaanisha yeye na watu wake hawastahili sifa kwa kumpa chochote Yahweh. # sisi ni wageni na wasafiri mbele zako "Unajua sisi si wa muhimu" # Siku zetu katika dunia ni kama kivuli Vivuli vinatokeza na kutoeka haraka.