sw_tn/1ch/28/20.md

20 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hodari na mjasiri
Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Sulemani lazima awe shujaa.
# Usiogope au kuwa na wasiwasi
Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Sulemani lazima asikate tamaa. "Kuwa hodari" au "Kuwa Mjasiri"
# yupo nawe
"nitakusaidia wewe"
# Hatakuacha wala kukutelekeza
Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Yahweh ata kuwa daima na Sulemani. "Ata kuwa nawe daima"
# hivi ni vitengo vya makuhani na Walawi
Ona jinsi ulivyo tafsiri 28:13