# hodari na mjasiri Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Sulemani lazima awe shujaa. # Usiogope au kuwa na wasiwasi Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Sulemani lazima asikate tamaa. "Kuwa hodari" au "Kuwa Mjasiri" # yupo nawe "nitakusaidia wewe" # Hatakuacha wala kukutelekeza Haya maneno mawili yanamanisha kitu kimoja na kukazia kuwa Yahweh ata kuwa daima na Sulemani. "Ata kuwa nawe daima" # hivi ni vitengo vya makuhani na Walawi Ona jinsi ulivyo tafsiri 28:13