sw_tn/1ch/28/09.md

24 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mungu wa baba yako
Daudi anajiita "baba yako" kwasababu hiii ni tafrija maalumu. "Mungu wangu"
# moyo wako wote
"kabisa"
# anachunguza mioyo yote na kufahamu amasa ya kila wazo la mtu
Hii mistari miwili ina maana moja na kuweka mkazo kwamba Yahweh anajua mawazo na nia za kila mtu.
# Ukimtafuta, ataonekana kwako
"ukijaribu kumpata Yahweh akusikilize wewe, atafanya hivyo"
# Elewa
"Ona sasa" "Kumbuka" aua "Kuwa na tahadhari"
# Kuwa imara na ufanye
Neno "imara" hapa la husu nguvu ya nia na uweza wa tabia.