# Mungu wa baba yako Daudi anajiita "baba yako" kwasababu hiii ni tafrija maalumu. "Mungu wangu" # moyo wako wote "kabisa" # anachunguza mioyo yote na kufahamu amasa ya kila wazo la mtu Hii mistari miwili ina maana moja na kuweka mkazo kwamba Yahweh anajua mawazo na nia za kila mtu. # Ukimtafuta, ataonekana kwako "ukijaribu kumpata Yahweh akusikilize wewe, atafanya hivyo" # Elewa "Ona sasa" "Kumbuka" aua "Kuwa na tahadhari" # Kuwa imara na ufanye Neno "imara" hapa la husu nguvu ya nia na uweza wa tabia.