sw_tn/1ch/28/04.md

20 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Daudi anaendelea kuongea na Waisraeli.
# mfalme wa Israeli milele
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi na uzao wake utatawala milele au 2)Daudi ataendelea kuwa mfalme wa Israeli baada ya kufufuka kutoka wafu.
# Israeli yote
"ardhi yote ya Israeli'' au "Waisraeli wote"
# kuketi katika kiti cha enzi
"kutawala" au "kuwa mfalme wa"
# ufalme wa Yahweh, juu ya Israeli
"Israeli ambayo ni ufalme wa Yahweh"