# Taarifa za jumla: Daudi anaendelea kuongea na Waisraeli. # mfalme wa Israeli milele Maana zinazowezekana ni 1) Daudi na uzao wake utatawala milele au 2)Daudi ataendelea kuwa mfalme wa Israeli baada ya kufufuka kutoka wafu. # Israeli yote "ardhi yote ya Israeli'' au "Waisraeli wote" # kuketi katika kiti cha enzi "kutawala" au "kuwa mfalme wa" # ufalme wa Yahweh, juu ya Israeli "Israeli ambayo ni ufalme wa Yahweh"