sw_tn/1ch/27/10.md

28 lines
792 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mkuu kwa mwezi wa saba alikuwa Helezi Mpeloni, kutoka watu wa Efraimu
"Helezi, Mpeloni, kutoka watu wa Efraimu, alikuwa mkuu wa mwezi wa saba"
# mwezi wa saba
Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Septemba na mwanzo wa Oktoba kwa kalenda za Kimagharibi.
# Helezi ... Sibekai ... Zera ... Abi Ezeri
Haya ni majina ya wanaume.
# Mpeloni ... Mhushathi ... Manathothi
Haya ni majinaya makabila au koo.
# wanaume elfu ishirini na nne
2021-09-10 19:21:44 +00:00
wanaume ekfu nne "wanaume 24,000"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwezi wa nane
Huu ni mwezi wa nane wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Oktoba na mwanzo wa Novemba kwa kalenda za Kimagharibi.
# mwezi wa tisa
Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Novemba na mwanzo wa Desemba kwa kalenda za Kimagharibi.