# Mkuu kwa mwezi wa saba alikuwa Helezi Mpeloni, kutoka watu wa Efraimu "Helezi, Mpeloni, kutoka watu wa Efraimu, alikuwa mkuu wa mwezi wa saba" # mwezi wa saba Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Septemba na mwanzo wa Oktoba kwa kalenda za Kimagharibi. # Helezi ... Sibekai ... Zera ... Abi Ezeri Haya ni majina ya wanaume. # Mpeloni ... Mhushathi ... Manathothi Haya ni majinaya makabila au koo. # wanaume elfu ishirini na nne wanaume ekfu nne "wanaume 24,000" # mwezi wa nane Huu ni mwezi wa nane wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Oktoba na mwanzo wa Novemba kwa kalenda za Kimagharibi. # mwezi wa tisa Huu ni mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiebrania. Ni wakati wa mwisho wa Novemba na mwanzo wa Desemba kwa kalenda za Kimagharibi.