sw_tn/1ch/23/12.md

20 lines
440 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hii yaendeleza orodha ya Walawi kwa mujibu wa koo zao.
# Palikuwa na wanne wa wana wa Kohathi
"Kohathi alikuwa na wana 4"
# Aruni alichaguliwa kuandaa vitu vitakatifu
"Yahweh alimchagua Aruni kuvitoa vitu vitakatifu"
# kumpa baraka kwa jina lake
"kuwa bariki watu kama wa wakilishi wa Mungu milele"
# wana wake walihesabiwa kuwa Walawi
"wana wake walikuwa sehemu ya ukoo wa Walawi" Wana wa Musa walikuwa Walawi.