# Maelezo ya Jumla Hii yaendeleza orodha ya Walawi kwa mujibu wa koo zao. # Palikuwa na wanne wa wana wa Kohathi "Kohathi alikuwa na wana 4" # Aruni alichaguliwa kuandaa vitu vitakatifu "Yahweh alimchagua Aruni kuvitoa vitu vitakatifu" # kumpa baraka kwa jina lake "kuwa bariki watu kama wa wakilishi wa Mungu milele" # wana wake walihesabiwa kuwa Walawi "wana wake walikuwa sehemu ya ukoo wa Walawi" Wana wa Musa walikuwa Walawi.