# Maelezo ya Jumla
Daudi anamteua Sulemani kama mrithi wake na anapanga makuhani wa Kiwalawi na wafanya kazi wa huduma za hekaluni
# Walawi walio kuwa miaka thelathini na zaidi walihesabiwa
"Baadhi ya wanaume wa Daudi waliwahesabu Walawi walikuwa na miaka 30 na zaidi"
# Idadi ya elfu thelathini na nane
elfu nane "Walikuwa 38,000"