# Maelezo ya Jumla Daudi anamteua Sulemani kama mrithi wake na anapanga makuhani wa Kiwalawi na wafanya kazi wa huduma za hekaluni # Walawi walio kuwa miaka thelathini na zaidi walihesabiwa "Baadhi ya wanaume wa Daudi waliwahesabu Walawi walikuwa na miaka 30 na zaidi" # Idadi ya elfu thelathini na nane elfu nane "Walikuwa 38,000"