sw_tn/1ch/22/06.md

24 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuitwa
"Daudi aliita"
# kumuamuru ajenge ... dhamira yangu kujenga
"aliwaamuru wafanya kazi kujenga ... mpango wangu ulikuwa kuajiri wafanya kazi kujenga"
# kwa ajili ya jina la Yahweh Mungu wangu
"kumheshimu Yahweh Mungu wangu"
# umemwaga damu nyingi
"umeua watu wengi"
# Hauta jenga nyumba kwa jina langu
"Hauta jenga hekalu kunitukuza mimi"
# kwasababu umemwaga damu nyingi kwenye ardhi machoni pangu
"kwasbabu ninajua umeua watu wengi"