# kuitwa "Daudi aliita" # kumuamuru ajenge ... dhamira yangu kujenga "aliwaamuru wafanya kazi kujenga ... mpango wangu ulikuwa kuajiri wafanya kazi kujenga" # kwa ajili ya jina la Yahweh Mungu wangu "kumheshimu Yahweh Mungu wangu" # umemwaga damu nyingi "umeua watu wengi" # Hauta jenga nyumba kwa jina langu "Hauta jenga hekalu kunitukuza mimi" # kwasababu umemwaga damu nyingi kwenye ardhi machoni pangu "kwasbabu ninajua umeua watu wengi"