sw_tn/1ch/21/06.md

16 lines
463 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini Levi na Benjamini hawakus hesabiwa miongoni mwao
" Lakini Yoabu hakuwa hesabu wanaume kutoka makabila ya Levi na Benjaminini"
# kwa hili tendo
"tendo hili" limemaanisha katika mpango wa Daudi kuhesabu wanaume wote wa Israeli wenye uwezo wa kupigana.
# chukua hatia ya mtumishi wako
Msamaha unafafanuliwa kama kuwa na hatia halafu ikaondolewa. "Nisamehe mimi"
# hatia ya mtumishi wako
Daudi anajitaja mwenyewe kama mtumishi wa Mungu. "hatia yangu"