# Lakini Levi na Benjamini hawakus hesabiwa miongoni mwao " Lakini Yoabu hakuwa hesabu wanaume kutoka makabila ya Levi na Benjaminini" # kwa hili tendo "tendo hili" limemaanisha katika mpango wa Daudi kuhesabu wanaume wote wa Israeli wenye uwezo wa kupigana. # chukua hatia ya mtumishi wako Msamaha unafafanuliwa kama kuwa na hatia halafu ikaondolewa. "Nisamehe mimi" # hatia ya mtumishi wako Daudi anajitaja mwenyewe kama mtumishi wa Mungu. "hatia yangu"