sw_tn/1ch/14/01.md

20 lines
326 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hiramu
Jina la mfalme
# maseremala
Hawa ni watu ambao kazi yao ni kufanya vitu vya mbao.
# wajenzi
Hawa ni watu wa kufanya vitu kwa mawe au tofali.
# alimfanya kuwa
"kumfanya"
# ufalme wake ulitukuzwa juu sana kwa ajili ya watu wa Israeli
"Yahweh alimpa Daudi heshima katika ufalme wake kuwasaidia watu wa Israeli"