# Hiramu Jina la mfalme # maseremala Hawa ni watu ambao kazi yao ni kufanya vitu vya mbao. # wajenzi Hawa ni watu wa kufanya vitu kwa mawe au tofali. # alimfanya kuwa "kumfanya" # ufalme wake ulitukuzwa juu sana kwa ajili ya watu wa Israeli "Yahweh alimpa Daudi heshima katika ufalme wake kuwasaidia watu wa Israeli"