sw_tn/1ch/12/08.md

12 lines
196 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambao nyuso zao zilikuwa kali kama za simba
"walio kuwa wakali sana"
# Walikuwa wepesi kama swala
"Walikuwa wana mbio sana"
# swala
Hawa ni wanyama walio wa pole na wepesi, mfano wa ayala.