# ambao nyuso zao zilikuwa kali kama za simba "walio kuwa wakali sana" # Walikuwa wepesi kama swala "Walikuwa wana mbio sana" # swala Hawa ni wanyama walio wa pole na wepesi, mfano wa ayala.