sw_mrk_text_ulb/07/36.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 36 Na aliwaamuru wasimwambie mtu yeyote. Lakini kadri alivyowaamuru, ndivyo walivyotangaza habari hizo kwa wingi. \v 37 Hakika walishangazwa, na kusema, "Amefanya kila kitu vizuri. Hata amewafanya viziwi kusikia na mabubu kuongea."