1 line
340 B
Plaintext
1 line
340 B
Plaintext
|
\v 18 Kwa maana Yohana alimwambia Herode, "Si halali kumuoa mke wa kaka yako." \v 19 Lakini Herodia alianza kumchukia na alikuwa akitaka kumuua, lakini hakuweza, \v 20 maana Herode alimwogopa Yohana; alijua kwamba ni mwenye haki mtu mtakatifu, na alimwacha salama. Na alipoendelea kumsikiliza alihuzunika sana, lakini alifurahi kumsikiliza.
|