Thu Mar 17 2022 09:30:52 GMT+0200 (South Africa Standard Time)

This commit is contained in:
Tomussone José Machinga 2022-03-17 09:30:55 +02:00
commit c33bc5adb8
272 changed files with 338 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Huu ni mwanzo wa injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. \v 2 Kama ilivyoandikwa na nabii Isaya, "Tazama, ninamtuma mjumbe wangu mbele yako, mmoja atakayetayarisha njia yako. \v 3 Sauti ya mtu aitaye nyikani, "Ikamilisheni njia ya Bwana; zinyosheni njia zake".

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yohana alikuja, akibatiza nyikani na kuhubiri ubatizo wa toba kwa msamaha wa dhambi. \v 5 Nchi yote ya Yudea na watu wote wa Yerusalemu walikwenda kwake. Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yordani, wakiungama dhambi zao. \v 6 Yohana alikuwa anavaa vazi la manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake, na alikuwa anakula nzige na asali ya porini.

1
01/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Alihubiri na kusema, "Yupo mmoja anakuja baada yangu mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, na sina hadhi hata ya kuinama chini na kufungua kamba za viatu vyake. \v 8 Mimi niliwabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza ninyi kwa Roho Mtakatifu."

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Ilitokea katika siku hizo kwamba Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, na alibatizwa na Yohana katika mto Yordani. \v 10 Wakati Yesu alipoinuka kutoka majini, aliona mbingu zimegawanyika wazi na Roho akishuka chini juu yake kama njiwa. \v 11 Na sauti ilitoka mbinguni, "Wewe ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa sana na wewe."

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha mara moja Roho akamlazimisha kwenda nyikani. \v 13 Alikuwako nyikani siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikuwa pamoja na wanyama wa mwituni, na malaika walimhudumia.

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Sasa baada ya Yohana kukamatwa, Yesu alikuja Galilaya akitangaza injili ya Mungu, \v 15 akisema, "Muda umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuamini katika injili".

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Na akipita kando ya bahari ya Galilaya, alimwona Simoni na Andrea ndugu wa Simoni wakitupa nyavu zao katika bahari, kwa kuwa walikuwa wavuvi. \v 17 Yesu aliwaambia, "Njoni, nifuateni, na nitawafanya wavuvi wa watu." \v 18 Na mara moja waliacha nyavu na wakamfuata.

1
01/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Wakati Yesu alipotembea umbali kidogo, alimwona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana ndugu yake; walikuwa kwenye mtumbwi wakitengeneza nyavu. \v 20 Mara aliwaita na wao walimwacha baba yao Zebedayo ndani ya mtumbwi na watumishi waliokodiwa, wakamfuata.

1
01/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Na walipofika Kaperinaumu, siku ya Sabato, Yesu aliingia kwenye sinagogi na kufundisha. \v 22 Walilishangaa fundisho lake, kwa vile alikuwa akiwafundisha kama mtu ambaye ana mamlaka na siyo kama waandishi.

1
01/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Wakati huo huo kulikuwa na mtu katika sinagogi lao aliyekuwa na roho mchafu, na alipiga kelele, \v 24 akisema, "Tuna nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani. Wewe ni Mtakatifu pekee wa Mungu!" \v 25 Yesu alimkemea pepo na kusema, "Nyamaza na utoke ndani yake!" \v 26 Na roho mchafu alimwangusha chini na akatoka kwake wakati akilia kwa sauti ya juu.

1
01/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Na watu wote walishangaa, hivyo wakaulizana kila mmoja, "Hii ni nini? Fundisho jipya lenye mamlaka? Hata huamuru pepo wachafu nao wanamtii!" \v 28 Na habari kuhusu yeye mara moja zikasambaa kila mahali ndani ya mkoa wote wa Galilaya.

1
01/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Na mara moja baada ya kutoka nje ya sinagogi, waliingia nyumbani mwa Simoni na Andrea wakiwa na Yakobo na Yohana. \v 30 Sasa mama mkwe wa Simoni alikuwa amelala mgonjwa wa homa, na mara moja walimwambia Yesu habari zake. \v 31 Hivyo alikuja, alimshika kwa mkono, na kumwinua juu; homa ikaondoka kwake, na akaanza kuwahudumia.

1
01/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Jioni hiyo wakati jua limekwisha zama, walimletea kwake wote waliokuwa wagonjwa, au waliopagawa na pepo. \v 33 Mji wote walikusanyika pamoja katika mlango. \v 34 Aliwaponya wengi waliokuwa wagonjwa wa magonjwa mbalimbali na kutoa pepo wengi, bali hakuruhusu pepo kuongea kwa sababu walimjua.

1
01/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Aliamka asubuhi na mapema, wakati ilikuwa bado giza; aliondoka na kwenda mahali pa faragha na aliomba huko. \v 36 Simoni na wote waliokuwa pamoja naye walimtafuta. \v 37 Walimpata na wakamwambia, "Kila mmoja anakutafuta"

1
01/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Aliwaambia, "Twendeni mahali pengine, nje katika miji inayozunguka, ili niweze kuhubiri huko pia. Ndiyo sababu nilikuja hapa." \v 39 Alikwenda akipita Galilaya yote, akihubiri katika masinagogi yao na kukemea pepo.

1
01/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Mwenye ukoma mmoja alikuja kwake. Alikuwa akimsihi; alipiga magoti na alimwambia, "Kama unataka, waweza kunifanya niwe safi." \v 41 Akisukumwa na huruma, Yesu alinyosha mkono wake na kumgusa, akimwambia, "Ninataka. Uwe msafi." \v 42 Mara moja ukoma ukamtoka, na alifanywa kuwa safi.

1
01/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Yesu akamwonya vikali na akamwambia aende mara moja, \v 44 Alimwambia, "Hakikisha hausemi neno kwa yeyote, lakini nenda, ujionyeshe kwa kuhani, na utoe dhabihu kwa ajili ya utakaso ambayo Musa aliagiza, kama ushuhuda kwao."

1
01/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Lakini alikwenda na kuanza kumwambia kila mmoja na kueneza neno zaidi hata Yesu hakuweza tena kuingia mjini kwa uhuru. Hivyo alikaa mahali pa faragha na watu walikuja kwake kutoka kila mahali.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Aliporudi Kaperinaumu baada ya siku chache, ilisikika kwamba alikuwa nyumbani. \v 2 Watu wengi sana walikuwa wamekusanyika pale na haikuwepo nafasi tena, hata ile ya pale mlangoni, na Yesu alisema neno kwao.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kisha baadhi ya watu walikuja kwake waliomleta mtu aliyekuwa amepooza; watu wanne walikuwa wamembeba. \v 4 Wakati waliposhindwa kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu, waliondoa paa juu ya mahali pale alipokuwa. Na walipokuwa wamekwishatoboa tundu, walishusha kitanda ambacho mtu aliyepooza alikuwa amelala.

1
02/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Alipoiona imani yao, Yesu alimwambia mtu aliyepooza, "mwanangu, dhambi zako zimesamehewa." \v 6 Lakini baadhi ya waandishi wale waliokuwa wamekaa pale walijihoji mioyoni mwao, \v 7 "Anawezaje mtu huyu kusema hivi? Anakufuru! Nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?"

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mara Yesu alijua rohoni mwake walichokuwa wakifikiri miongoni mwao wenyewe. Aliwaambia, "Kwa nini mnafikiri hivi mioyoni mwenu? \v 9 Lipi ni jepesi zaidi kusema kwa mtu aliyepooza, 'Dhambi zako zimesamehewa' au kusema 'Simama, chukua kitanda chako, na utembee?'

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 "Nakuambia wewe, inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani kwako." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alikwenda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote walishangaa na walimpa Mungu utukufu, na wakasema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Alienda tena kando ya ziwa, na umati wote wa watu walikuja kwake, na akawafundisha. \v 14 Alipokuwa akipita alimwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi kwenye sehemu ya kukusanyia kodi na akamwambia, "Nifuate." Alisimama na kumfuata.

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Na wakati Yesu alipokuwa akipata chakula katika nyumba ya Lawi, wakusanya kodi wengi na watu wenye dhambi walikuwa wakila na Yesu na wanafunzi wake, kwa kuwa walikuwa wengi nao walimfuata. \v 16 Wakati waandishi, ambao walikuwa Mafarisayo, walipoona kwamba Yesu alikuwa akila na watu wenye dhambi na wakusanya kodi, waliwaambia wanafunzi wake, "Kwa nini anakula na wakusanya kodi na watu wenye dhambi?"

1
02/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wakati Yesu aliposikia hivi aliwaambia, "Watu walio na afya katika mwili hawamhitaji tabibu; ni watu wagonjwa pekee ndio wanamhitaji. Sikuja kuwaita watu wenye haki, lakini watu wenye dhambi."

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wanafunzi wa Yohana na Mafarisayo walikuwa wakifunga. Na baadhi ya watu walikuja kwake na kumwambia, "Kwa nini wanafunzi wa Yohana na mafarisayo hufunga, lakini wanafunzi wako hawafungi? \v 19 Yesu aliwaambia, "Je waliohudhuria harusini wanaweza kufunga wakati bwana harusi bado akiwa pamoja nao? Kwa vyovyote bwana harusi akiwa bado yuko pamoja nao hawawezi kufunga."

1
02/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini siku zitakuja wakati bwana harusi atakapoondolewa kwao, na katika siku hizo wao watafunga. \v 21 Hakuna mtu ashonaye kipande kipya cha nguo kwenye vazi kuukuu, vinginevyo kiraka kitabanduka kutoka katika hilo, kipya kubanduka kutoka katika kikuukuu, na kutakuwepo mpasuko mbaya.

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Hakuna mtu atiaye divai mpya katika viriba vikuukuu, vinginevyo divai itavipasua viriba na vyote viwili divai na viriba vitapotea. Badala yake, weka divai mpya katika viriba vipya."

1
02/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Katika siku ya Sabato Yesu alipita kwenye baadhi ya mashamba, na wanafunzi wake walianza kuchukua baadhi ya masuke ya ngano. \v 24 Na Mafarisayo walimwambia, "Tazama, kwa nini wanafanya kitu ambacho ni kinyume cha sheria katika siku ya Sabato?"

1
02/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Aliwaambia, "Hamkusoma kile alichofanya Daudi alipokuwa katika uhitaji na njaa—yeye pamoja na watu waliokuwa pamoja naye? \v 26 Jinsi alivyoenda katika nyumba ya Mungu wakati Abiathari alipokuwa kuhani mkuu na akala mkate uliowekwa mbele—ambao ilikuwa kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kula isipokuwa makuhani—na aliwapa hata baadhi ya wale waliokuwa pamoja naye?"

1
02/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Yesu alisema, "Sabato ilifanywa kwa ajili ya mwanadamu, siyo mwanadamu kwa ajili ya Sabato. \v 28 Kwa hiyo, Mwana wa Adamu ni Bwana, hata kwa Sabato."

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Na tena aliingia ndani ya sinagogi na mle palikuwa na mtu mwenye mkono uliopooza. \v 2 Baadhi ya watu walikuwa wakimfuatilia kwa ukaribu kuona kama atamponya siku ya Sabato ili kwamba wamshitaki.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Yesu alimwambia mtu mwenye mkono uliopooza, " Inuka na usimame katikati ya umati huu." \v 4 Kisha akawaambia watu, "Je ni halali kutenda tendo jema siku ya Sabato au kutenda yasiyo haki; kuokoa maisha, au kuua?" Lakini walibaki kimya.

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Akawaangalia kwa hasira, akihuzunika kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao, na akamwambia yule mtu, "Nyoosha mkono wako". Akaunyoosha na Yesu akamponya mkono wake. \v 6 Mafarisayo wakaenda nje na mara wakafanya njama pamoja na Maherode dhidi yake ili kumuua.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kisha Yesu, pamoja na wanafunzi wake, walienda baharini, na umati mkubwa wa watu uliwafuata ukitokea Galilaya na Uyahudi \v 8 na kutoka Yerusalemu na kutoka Idumaya na mbele ya Yorodani na jirani ya Tiro na Sidoni, umati mkubwa, uliposikia kila kitu alichokuwa anakifanya, walikuja kwake.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Na aliwaambia wanafunzi wake kuandaa mtubwi mdongo kwa ajili yake kwa sababu ya umati, ili kwamba wasije wakamsonga. \v 10 Kwa kuwa aliponya wengi, ili kila mtu aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumfikia ili amguse.

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Popote roho wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kulia, na walisema, "Wewe ni Mwana wa Mungu". \v 12 Aliwaamuru kwa msisitizo wasifanye ajulikane.

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Alienda juu ya mlima, na akawaita aliowataka, na wakaenda kwake. \v 14 Akawachagua kumi na wawili (aliowaita mitume), ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri, \v 15 na kuwa na mamlaka ya kutoa mapepo. \v 16 Na akawachagua kumi na wawili: Simoni, aliyempa jina la Petro,

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake Yakobo, aliyepewa jina la Bonagesi, hao ni, wana wa ngurumo, \v 18 na Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo, \v 19 na Yuda Iskariote, ambaye atamsaliti.

1
03/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakaja pamoja tena, hata wasiweze kula hata mkate. \v 21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, " Amerukwa na akili". \v 22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, " Amepagawa na Beelzebuli," na, " Kwa mtawala wa mapepo anatoa mapepo".

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Yesu aliwaita kwake na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.

1
03/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Kama Shetani atainuka kinyume chake mwenyewe na kugawanyika, hawezi kusimama, na atakuwa amefika mwisho wake. \v 27 Lakini hakuna hata mmoja awezaye kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuiba vitu vyake bila kumfunga mwenye nguvu kwanza, na kisha kukusanya kilichomo nyumbani.

1
03/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Kweli nawambieni, dhambi zote za wana wa watu zitasamehewa, pamoja na kufuru ambazo wanatamka, \v 29 lakini yeyote atakaye mkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, bali ana hatia ya dhambi ya milele". \v 30 Yesu alilisema hili kwa sababu walikuwa wakisema, "Ana roho chafu".

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Kisha mama yake na ndugu zake walikuja na kusimama nje. Wakamtuma mtu, kumwita. \v 32 Na umati wa watu uliokuwa umekaa karibu naye wakamwambia, "mama yako na ndugu zako wako nje, na wanakutafuta wewe".

1
03/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Aliwajibu, "Ni nani mama yangu na ndugu zangu?" \v 34 Aliwaangalia waliokuwa wamekaa wamemzunguka, na akasema, "Tazama, hawa ni mama zangu na ndugu zangu! \v 35 Yeyote afanyaye mapenzi ya Mungu, mtu huyo ni ndugu yangu, na dada yangu, na mama yangu".

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Tena alianza kufundisha kandokando ya bahari. Na umati mkubwa ulikusanyika ukamzunguka, akaingia ndani ya mtumbwi baharini, na kukaa. Umati wote walikuwa pembeni mwa bahari ufukweni. \v 2 Na akawafundisha mambo mengi kwa mifano, na akasema kwao kwa mafundisho yake.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Sikilizeni, mpanzi alienda kupanda. \v 4 Alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zilianguka njiani, na ndege wakaja wakazila. \v 5 Mbegu zingine zilianguka kwenye mwamba, ambako hapakuwa na udongo mwingi. Mara zikanyauka, kwa sababu hazikuwa na udongo wakutosha.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Lakini jua lilipochomoza, zilinyauka, na kwa sababu hazikuwa na mzizi, zilikauka. \v 7 Mbegu ziingine zilianguka katikati ya miiba. Miiba ilikua na ikazisonga, na hazikuzaa matunda yeyote.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mbegu zingine zilianguka kwenye udongo mzuri na zikazaa matunda wakati zikikua na kuongezeka, zingine zilizaa mara thelathini zaidi, na zingine sitini, na zingine mia". \v 9 Na akasema, "Yeyote mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Yesu alipokuwa peke yake, wale waliokuwa karibu naye na wale kumi na wawili walimuuliza kuhusu mifano. \v 11 Akasema kwao, "Kwenu mmepewa siri za ufalme wa Mungu. Lakini kwa walio nje kila kitu ni mifano, \v 12 ili wakitazama, ndiyo hutazama, lakini hawaoni, na kwa hiyo wanaposikia ndiyo husikia, lakini hawaelewi, amasivyo wangegeuka na Mungu angeliwasamehe."

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Na akasema kwao, "Je hamuelewi mfano huu? Mtawezaje kuelewa mifano mingine?. \v 14 Mpanzi alipanda neno. \v 15 Baadhi ni wale walioanguka pembeni mwa njia, mahali neno lilipopandwa. Na walipolisikia, mara Shetani akaja na kulichukua neno ambalo lilipandwa ndani yao.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Na baadhi ni wale waliopandwa juu ya mwamba, ambao, wanapolisikia neno, kwa haraka wanalipokea kwa furaha. \v 17 Na hawana mizizi yoyote ndani yao, lakini huvumilia kwa muda mfupi. Halafu tabu na masumbufu vinapokuja kwa sababu ya neno, mara hujikwaa.

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba. Wanalisikia neno, \v 19 lakini masumbufu ya dunia, udanganyifu wa mali, na tamaa za mambo mengine, huwaingia na kulisonga neno, na linashindwa kuzaa matunda. \v 20 Kisha kuna wale ambao wamepandwa kwenye udongo mzuri. Wanalisikia neno na kulipokea na huzaa matunda: baadhi thelathini, na baadhi sitini, na baadhi mia moja."

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yesu akawaambia, " Je huwa unaleta taa ndani ya nyumba na kuiweka chini ya kikapu, au chini ya kitanda? Huileta ndani na kuiweka juu ya kiango. \v 22 Kwa kuwa hakuna chochote kilichojificha ambacho hakitajulikana, na hakuna siri ambayo haitawekwa wazi. \v 23 Akiwapo mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"

1
04/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Akawaambia, " Iweni makini kwa kile mnachokisikia, kwa kuwa kipimo mpimacho, ndicho mtakachopimiwa, na itaongezwa kwenu. \v 25 Kwa sababu yeye aliyenacho, atapokea zaidi, na yule asiyenacho, kutoka kwake vitachukuliwa hata vile alivyonavyo."

1
04/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Na akasema, "Ufalme wa Mungu umefananishwa na mtu aliyepanda mbegu katika udongo. \v 27 Alipolala usiku na kuamka asubuhi, na mbegu zikachipuka na kukua, ingawa hajui ilivyotokea. \v 28 Dunia hutoa mbegu yenyewe; kwanza majani, halafu maua, halafu mbegu zilizo komaa. \v 29 Na wakati mbegu itakapokua imeiva mara hupeleka mundu, kwa sababu mavuno yamewadia."

1
04/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na akasema, "tuufananishe ufalme wa Mungu na kitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?. \v 31 Ni kama mbegu ya haradali, ambapo ilipopandwa ni ndogo sana kuliko mbegu zote duniani. \v 32 Hata, wakati imepandwa, inakuana kuwa kubwa zaidi ya mimea yote ya bustani, na inafanya matawi makubwa, hata ndege wa mbinguni huweza kufanya viota vyao kwenye kivuli chake."

1
04/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Kwa mifano mingi alifundisha na alisema neno kwao, kwa kadiri walivyoweza kuelewa, \v 34 na hakusema nao bila mifano. Lakini wakati alipokuwa peke yake, akawaelezea kila kitu wanafunzi wake.

1
04/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipowadia, akasema kwao, "Twendeni upande wa pili". \v 36 Hivyo wakauacha umati, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi tayali ulikuwa umejaa.

1
04/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Lakini Yesu mwenyewe alikuwa kwenye shetri, amelala kwenye mto. Wakamwamsha, wakisema, "Mwalimu, haujali sisi tunakufa?" \v 39 Na akaamka, akaukemea upepo na akaiambia bahari, "'Iwe shwari, amani". Upepo ukakoma, na kulikuwa na utulivu mkubwa.

1
04/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Na akasema kwao, "Kwa nini mnaogopa? Je hamna imani bado?" \v 41 Walijawa na hofu kubwa ndani yao na wakasemezana wao kwa wao, " Huyu ni nani tena, kwa sababu hata upepo na bahari vya mtii?".

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Walikuja mpaka upande mwingine wa bahari, katika mkoa wa Gerasi \v 2 Na ghafla wakati Yesu alipokuwa akitoka nje ya mtumbwi, mtu mwenye roho chafu alikuja kwake kutoka makaburini.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mtu huyu aliishi makaburini. Hakuna aliyeweza kumzuia zaidi, hakuna hata kwa minyororo. \v 4 Alikuwa amefungwa nyakati nyingi kwa pingu na minyororo. Aliikata minyororo na pingu zake zilivunjwa. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na nguvu za kumshinda.

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Usiku na mchana akiwa makaburini na milimani, alilia na kujikata yeye mwenyewe kwa mawe makali. \v 6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alikimbilia kwake na kuinama mbele yake.

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Alilia kwa sauti kuu, "Wataka nikufanyie nini, Yesu, Mwana wa Mungu aliye Juu sana? Ninakusihi kwa Mungu mwenyewe, usinitese." \v 8 Kwa kuwa alikuwa amemwambia, "Mtoke mtu huyu, wewe roho mchafu."

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Naye alimwuliza, "Jina lako ni nani?" Naye alimjibu, "Jina langu ni Legion, kwa kuwa tuko wengi." \v 10 Alimsihi tena na tena asiwapeleke nje ya mkoa.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Sasa kundi kubwa la nguruwe lilikuwa likilishwa juu ya kilima, \v 12 nao walimsihi, wakisema, "Tutume kwa nguruwe; tuingie ndani yao." \v 13 Hivyo aliwaruhusu; roho wachafu waliwatoka na kuingia ndani ya nguruwe, nao walikimbilia chini ya kilima mpaka baharini, na karibia nguruwe elfu mbili walizama baharini.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Na wale waliokuwa wakiwalisha nguruwe walikimbia na kutoa taarifa ya kilichotokea katika mji na katika nchi. Ndipo watu wengi walitoka kwenda kuona kilichotokea. \v 15 Ndipo walikuja kwa Yesu na walimwona mtu aliyepagawa na pepo—aliyekuwa na Jeshi—amekaa chini, amevikwa, na akiwa katika akili yake timamu, nao waliogopa.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Wale waliokuwa wameona kilichotokea kwa mtu aliyekuwa amepagawa na pepo waliwaambia kilichotokea kwake na pia kuhusu nguruwe. \v 17 Nao walianza kumsihi aondoke katika mkoa wao.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Na alipokuwa akiingia ndani ya mtumbwi, mtu aliyekuwa amepagawa na mapepo alimsihi kwamba aende pamoja naye. \v 19 Lakini hakumruhusu, lakini alimwambia, "Nenda nyumbani kwako na kwa watu wako, na uwaambie alikufanyia Bwana, na rehema aliyokupa." \v 20 Hivyo alienda na alianza kutangaza mambo makuu ambayo Yesu amefanya kwake katika Dekapoli, na kila mmoja alistaajabu.

1
05/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Na wakati Yesu alipovuka tena upande mwingine, ndani ya mtumbwi, umati mkubwa ulikusanyika kumzunguka, alipokuwa kando ya bahari. \v 22 Na mmoja wa kiongozi wa sinagogi, aliyeitwa Yairo, alikuja, na alipomwona, alianguka miguuni pake. \v 23 Akamsihi zaidi na zaidi, akisema, " Binti yangu mdogo anakaribia kufa. Ninakusihi, njoo na uweke mikono yako juu yake ili kwamba aweze kupata afya na kuishi." \v 24 Hivyo alikwenda pamoja naye, na umati mkubwa ulimfuata nao walimzonga karibu wakimzunguka.

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Kulikuwa na mwanamke ambaye damu yake ilikuwa imetoka kwa miaka kumi na miwili. \v 26 Aliteseka vya kutosha chini ya matabibu wengi na alitumia kila kitu alichokuwa nacho. Hata hivyo hakusaidika kwa chochote, lakini badala yake alizidi kuwa na hali mbaya. \v 27 Alisikia habari kuhusu Yesu. Hivyo alikuja nyuma yake wakati alipokuwa akitembea ndani ya umati, naye aliligusa vazi lake.

1
05/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Kwa kuwa alisema, "Kama nikiyagusa mavazi yake tu, nitakuwa mzima." \v 29 Alipomgusa, kutokwa damu kulikoma, na alijisikia katika mwili wake kwamba aliponywa kutoka kwenye mateso yake.

1
05/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na ghafla Yesu aligundua ndani yake mwenyewe kwamba nguvu zimemtoka. Na aligeuka huku na huku katika umati wa watu na kuuliza, "Ni nani aliyeligusa vazi langu?" \v 31 Wanafunzi wake walimwambia, "Unaona umati huu umekusonga ukikuzunguka, nawe wasema, 'Ni nani aliyenigusa?'" \v 32 Lakini Yesu alitazama huku na huku kuona ambaye aliyekuwa amefanya hili.

1
05/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Mwanamke, akijua kilichotokea kwake, aliogopa na kutetemeka. Alikuja na alianguka chini mbele yake na kumwambia ukweli wote. \v 34 Alisema kwake, "Binti, imani yako imekufanya uwe mzima. Enenda kwa amani na uponywe kutoka kwenye ugonjwa wako."

1
05/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Alipokuwa akizungumza, baadhi ya watu walikuja kutoka kwa kiongozi wa Sinagogi, wakisema, "Binti yako amekufa. Kwa nini kuendelea kumsumbua mwalimu?"

1
05/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema, alimwambia kiongozi wa Sinagogi, "Usiogope. Amini tu." \v 37 Hakumruhusu yeyote kuongozana naye, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana, ndugu yake Yakobo. \v 38 Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu, kulia kwingi na kuomboleza.

1
05/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mmesikitika na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walimcheka, lakini yeye, aliwatoa wote nje, alimchukua baba wa mtoto na mama na wale waliokuwa pamoja naye, na aliingia ndani alimokuwa mtoto.

1
05/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Aliuchukua mkono wa mtoto na alimwambia, "Talitha koum," ambayo ni kusema, "Binti mdogo, nakuambia, amka." \v 42 Ghafla mtoto aliamka na kutembea (kwa kuwa alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Na ghafla walishikwa na mshangao mkubwa. \v 43 Aliwaamuru kwa nguvu kwamba hakuna yeyote anapaswa kujua kuhusu hili. Na aliwaambia wampatie yule binti chakula.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Na akaondoka hapo na kwenda mjini kwao, na wanafunzi wake wakamfuata. \v 2 Sabato ilipofika, alianza kufundisha katika Sinagogi. Watu wengi walimsikia na wakashangazwa. Wakasema, "Amepata wapi mafundisho haya?" "Ni hekima gani hii aliyopewa?" "Anatendaje miujiza hii kwa mikono yake?" \v 3 "Je huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu na ndugu yao kina Yakobo, Yose, Yuda na Simioni? Je dada zake si wanaishi papa hapa pamoja nasi?" Na hawakufurahishwa na Yesu.

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yesu akawaambia, "Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika mji wake na miongoni mwa ndugu zake na nyumbani mwake." \v 5 Hakuweza kutenda miujiza hapo, ila aliwawekea mikono wagonjwa wachache akawaponya. \v 6 Alishangazwa sana kwa sababu ya kutokuamini kwao. Kisha alivitembelea vijiji vya jirani akifundisha.

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili akaanza kuwatuma wawili wawili. Aliwapa mamlaka juu ya pepo wachafu, \v 8 na kuwaamuru wasichukue chochote wanapokwenda isipokuwa fimbo tu. Wasichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kibindoni; \v 9 lakini wavae viatu, na siyo kanzu mbili.

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Na akawaambia, "Nyumba yoyote mtakayoingia, kaeni hapo mpaka mtakapoondoka. \v 11 Na mji wowote usipowapokea wala kuwasikiliza, ondokeni kwao, kung'uteni mavumbi ya miguu yenu, iwe ushuhuda kwao."

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Nao wakaenda wakitangaza watu watubu na kuacha dhambi zao. \v 13 Waliwafukuza pepo wengi, na waliwapaka mafuta wagonjwa na wakaponywa.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mfalme Herode aliposikia hayo, kwa kuwa jina la Yesu lilikuwa limejulikana sana. Baadhi walisema, "Yohana mbatizaji amefufuka na kwa sababu hiyo, hii nguvu ya miujiza inafanya kazi ndani yake." \v 15 Baadhi yao wakasema, "Huyu ni Eliya," Bado wengine wakasema, "Huyu ni nabii, kama mmoja wa wale manabii wa zamani."

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Lakini Herode aliposikia haya akasema, "Yohana, niliyemkata kichwa amefufuliwa." \v 17 Maana Herode mwenyewe aliagiza Yohana akamatwe na alimfunga gerezani kwa sababu ya Herodia (mke wa kaka yake Filipo) kwa sababu yeye alikuwa amemuoa.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa maana Yohana alimwambia Herode, "Si halali kumuoa mke wa kaka yako." \v 19 Lakini Herodia alianza kumchukia na alikuwa akitaka kumuua, lakini hakuweza, \v 20 maana Herode alimwogopa Yohana; alijua kwamba ni mwenye haki mtu mtakatifu, na alimwacha salama. Na alipoendelea kumsikiliza alihuzunika sana, lakini alifurahi kumsikiliza.

1
06/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Hata ilipofika wakati mwafaka ikiwa imekaribia siku ya kuzaliwa Herode akawaandalia moafisa wake karamu, na makamanda, na viongozi wa Galilaya. \v 22 Ndipo binti wa Herodia akaingia na kucheza mbele yao, akamfurahisha Herode na wageni walioketi wakati wa chakula cha jioni. Ndipo mfalme akamwambia binti, "Niombe chochote unachotaka nami nitakupa."

1
06/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Akamwapia na kusema, chochote utakachoniomba, nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu." \v 24 Akatoka nje akamuuliza mama yake, "Niombe nini?" Akasema, "Kichwa cha Yohana Mbatizaji." \v 25 Na mara moja akaingia kwa mfalme akaanza kusema, "Nataka unipatie ndani ya sahani, kichwa cha Yohana Mbatizaji."

1
06/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Mfalme alisikitishwa sana, lakini kwa sababu ya kiapo chake na kwa ajili ya wageni, hakuweza kumkatalia ombi lake. \v 27 Hivyo, mfalme akatuma askari kati ya walinzi wake na kuwaagiza kwenda kumletea kichwa cha Yohana. Mlinzi alikwenda kumkata kichwa akiwa kifungoni. \v 28 Akakileta kichwa chake kwenye sahani na kumpatia binti, na binti akampa mama yake. \v 29 Na wanafunzi wake waliposikia hayo, walikwenda kuuchukua mwili wake wakaenda kuuzika kaburini.

1
06/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Na mitume, walikusanyika pamoja mbele ya Yesu, wakamweleza yote waliyofanya na waliyoyafundisha. \v 31 Naye akawaambia, "Njooni wenyewe mahali pa faragha na tupumzike kwa muda." Watu wengi walikuwa wanakuja na kuondoka, hata hawakupata nafasi ya kula. \v 32 Hivyo wakapanda mashua wakaenda mahali pa faragha peke yao.

1
06/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Lakini waliwaona wakiondoka na wengi wakawatambua, kwa pamoja walikimbia kwa miguu kutoka miji yote, nao wakafika kabla yao. \v 34 Walipofika pwani, aliona umati mkubwa na akawahurumia, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. Na akaanza kuwafundisha mambo mengi.

1
06/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Muda ulipoendelea sana, wanafunzi wakamjia wakamwambia,"Hapa ni mahali pa faragha na muda umeendelea. \v 36 Uwaage waende miji ya jirani na vijiji ili wakajinunulie chakula."

1
06/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Lakini akawajibu akisema, "Wapeni ninyi chakula." Wakamwambia, "Tunaweza kwenda na kununua mikate yenye thamani ya dinari mia mbili na kuwapa wale?" \v 38 Akawambia," Mna mikate mingapi? Nendeni mkaangalie." walipopata wakamwambia, "Mikate mitano na samaki wawili."

1
06/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Akawaamuru watu waketi katika makundi juu ya majani mabichi. \v 40 Wakawaketisha katika makundi; makundi ya mamia kwa hamsini. \v 41 Kisha akachukua mikate mitano na samaki wawili, na kutazama mbinguni, akaibariki kisha akawapa wanafunzi waweke mbele ya umati. Na kisha aligawa samaki wawili kwa watu wote.

1
06/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Walikula wote hadi wakatosheka. \v 43 Walikusanya vipande vya mikate iliyobaki, Vikajaa vikapu kumi na viwili, na pia vipande vya samaki. \v 44 Na walikuwa wanaume elfu tano waliokula mikate.

1
06/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Mara akawaambia wapande kwenye mashua waende sehemu nyingine, hadi Bethsaida, wakati Yeye akiwaaga makutano. \v 46 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, akaenda mlimani kuomba. \v 47 Kulipokuwa jioni, na mashua yao wakati huo ikiwa katikati ya bahari, naye alikuwa peke yake nchi kavu.

1
06/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Na aliwaona wakitaabika kupiga makasia kwa sababu upepo uliwazuia. Ilipokaribia asubuhi akawaendea, akitembea juu ya maji, na alitaka kuwapita. \v 49 Lakini walipomwona anatembea juu ya maji, wakaingiwa na wasiwasi wakidhani ni mzimu hata wakapiga kelele. \v 50 kwa sababu walimwona wakajawa na hofu. Mara akasema nao akawaambia, "Muwe wajasiri! ni mimi! Msiwe na hofu."

1
06/51.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 51 Akaingia ndani ya mashua, na upepo ukaacha kuvuma, nao wakamshangaa kabisa. \v 52 Hivyo hawakuwa wameelewa maana ya ile mikate. Maana akili zao zilikuwa na uelewa mdogo.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More