sw_mat_text_ulb/17/17.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 17 Yesu akajibu akisema, "Enyi Kizazi kisichoamini na kilichoharibika, nitakaa pamoja nanyi mpaka lini? Nitavumiliana nanyi hata lini? Mlete hapa kwangu." \v 18 Yesu alimkemea, na pepo akamtoka. Kijana aliponywa tangu saa ile.