sw_mat_text_ulb/11/07.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 7 Pindi watu hawa walipoondoka, Yesu alianza kusema na umati juu ya Yohana, "Ni nini mlikwenda kuona katika jangwa __tete likitikiswa na upepo? \v 8 Lakini nini mlikwenda kuona__mtu aliyevaa mavazi mololo? Hakika, wale wavaao mavazi mololo hukaa katika nyumba za wafalme.