Sun Oct 11 2020 20:14:25 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:14:27 +01:00
parent b28ee48115
commit 85fb8caf91
3 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kweli nina vitu vyote vya lazima na zaidi kupita. Sasa kwa kuwa Epafrodito ameniletea zawadi zenu zote, ninatosheka. Zawadi hizi ni kama sadaka ya ubani yenye harufu nzuri, na kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto inayokubaliwa na Mungu na kumupendeza. \v 19 Basi, kwa njia ya Yesu Kristo, Mungu wangu atatimiza mahitaji yenu yote kufuatana na uwingi na utukufu wa utajiri wake. \v 20 Mungu Baba yetu atukuzwe kwa milele na milele. Amina.

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Musalimie watu wote wa Mungu wanaomwamini Yesu Kristo. Wandugu wanaokuwa pamoja nami wanawasalimia. \v 22 Watu wote wa Mungu, na hasa zaidi wale wanaokuwa katika nyumba ya Mfalme, wanawasalimia vilevile. \v 23 Ninawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe na mioyo yenu.

View File

@ -74,6 +74,9 @@
"04-01",
"04-04",
"04-08",
"04-10"
"04-10",
"04-14",
"04-18",
"04-21"
]
}