diff --git a/04/18.txt b/04/18.txt new file mode 100644 index 0000000..fd98a17 --- /dev/null +++ b/04/18.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 18 Kweli nina vitu vyote vya lazima na zaidi kupita. Sasa kwa kuwa Epafrodito ameniletea zawadi zenu zote, ninatosheka. Zawadi hizi ni kama sadaka ya ubani yenye harufu nzuri, na kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto inayokubaliwa na Mungu na kumupendeza. \v 19 Basi, kwa njia ya Yesu Kristo, Mungu wangu atatimiza mahitaji yenu yote kufuatana na uwingi na utukufu wa utajiri wake. \v 20 Mungu Baba yetu atukuzwe kwa milele na milele. Amina. \ No newline at end of file diff --git a/04/21.txt b/04/21.txt new file mode 100644 index 0000000..d031b08 --- /dev/null +++ b/04/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 21 Musalimie watu wote wa Mungu wanaomwamini Yesu Kristo. Wandugu wanaokuwa pamoja nami wanawasalimia. \v 22 Watu wote wa Mungu, na hasa zaidi wale wanaokuwa katika nyumba ya Mfalme, wanawasalimia vilevile. \v 23 Ninawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe na mioyo yenu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index aa20ec4..34f1017 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -74,6 +74,9 @@ "04-01", "04-04", "04-08", - "04-10" + "04-10", + "04-14", + "04-18", + "04-21" ] } \ No newline at end of file