Mon Oct 12 2020 12:59:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 12:59:12 +01:00
parent d798714596
commit 5428c6f3d2
5 changed files with 9 additions and 0 deletions

1
16/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Na kesho yake kulipokucha, watawala wakatuma watumishi wamoja kwa yule mulinzi wa kifungo kwa kumwambia: “Uwafungue wale watu.” \v 36 Yule mulinzi wa kifungo akamwelezea Paulo habari ile akimwambia: “Wakubwa wametuma habari kwamba mufunguliwe. Basi sasa mutoke na kujiendea na amani.”

1
16/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Lakini Paulo akawaambia wajumbe: “Wametupiga mbele ya watu wote bila kutusambisha, ijapokuwa sisi ni wanainchi wa Roma, na kisha wakatutia ndani ya kifungo. Na sasa namna gani wanataka kututosha kwa uficho? Haiwezekani! Wao wenyewe wafike kutufungua!”» \v 38 Wale wajumbe wakarudi na kuwapasha wakubwa maneno yale. Nao waliposikia kwamba Paulo na Sila ni wanainchi wa Roma, wakaogopa sana. \v 39 Basi wakakuja, wakawabembeleza, wakawapeleka inje ya kifungo na kuwasihi watoke katika mji ule.

1
16/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Paulo na Sila walipotoka ndani ya kifungo, wakaenda kwa Ludia. Nao walipokwisha kuonana na wandugu na kuwatia moyo, wakaondoka.

1
18/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 18

View File

@ -287,6 +287,10 @@
"16-25",
"16-27",
"16-29",
"16-32",
"16-35",
"16-37",
"16-40",
"17-title",
"17-01",
"17-03",
@ -303,6 +307,7 @@
"17-28",
"17-30",
"17-32",
"18-title",
"19-title",
"19-01",
"19-03",