From 5428c6f3d2f86400465c692cf3d4cd503fcc198e Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Mon, 12 Oct 2020 12:59:12 +0100 Subject: [PATCH] Mon Oct 12 2020 12:59:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest) --- 16/35.txt | 1 + 16/37.txt | 1 + 16/40.txt | 1 + 18/title.txt | 1 + manifest.json | 5 +++++ 5 files changed, 9 insertions(+) create mode 100644 16/35.txt create mode 100644 16/37.txt create mode 100644 16/40.txt create mode 100644 18/title.txt diff --git a/16/35.txt b/16/35.txt new file mode 100644 index 0000000..ea0016f --- /dev/null +++ b/16/35.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 35 Na kesho yake kulipokucha, watawala wakatuma watumishi wamoja kwa yule mulinzi wa kifungo kwa kumwambia: “Uwafungue wale watu.” \v 36 Yule mulinzi wa kifungo akamwelezea Paulo habari ile akimwambia: “Wakubwa wametuma habari kwamba mufunguliwe. Basi sasa mutoke na kujiendea na amani.” \ No newline at end of file diff --git a/16/37.txt b/16/37.txt new file mode 100644 index 0000000..9cf0f6d --- /dev/null +++ b/16/37.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 37 Lakini Paulo akawaambia wajumbe: “Wametupiga mbele ya watu wote bila kutusambisha, ijapokuwa sisi ni wanainchi wa Roma, na kisha wakatutia ndani ya kifungo. Na sasa namna gani wanataka kututosha kwa uficho? Haiwezekani! Wao wenyewe wafike kutufungua!”» \v 38 Wale wajumbe wakarudi na kuwapasha wakubwa maneno yale. Nao waliposikia kwamba Paulo na Sila ni wanainchi wa Roma, wakaogopa sana. \v 39 Basi wakakuja, wakawabembeleza, wakawapeleka inje ya kifungo na kuwasihi watoke katika mji ule. \ No newline at end of file diff --git a/16/40.txt b/16/40.txt new file mode 100644 index 0000000..1e45465 --- /dev/null +++ b/16/40.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 40 Paulo na Sila walipotoka ndani ya kifungo, wakaenda kwa Ludia. Nao walipokwisha kuonana na wandugu na kuwatia moyo, wakaondoka. \ No newline at end of file diff --git a/18/title.txt b/18/title.txt new file mode 100644 index 0000000..dbfb446 --- /dev/null +++ b/18/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 18 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index fe28045..0bbc865 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -287,6 +287,10 @@ "16-25", "16-27", "16-29", + "16-32", + "16-35", + "16-37", + "16-40", "17-title", "17-01", "17-03", @@ -303,6 +307,7 @@ "17-28", "17-30", "17-32", + "18-title", "19-title", "19-01", "19-03",