\v 17 Mwenye ukarimu kwa masikini humkopesha Yehova na atalipwa kwa kile alichofanya. \v 18 Mrudi mwanao wakati kuna matumaini na usiwe na shauku ya kumweka katika mauti.