sw_pro_text_reg/22/13.txt

1 line
191 B
Plaintext

\v 13 Mtu mvivu husema, " Kuna simba mtaani! Nitauwawa sehemu za njia." \v 14 Kinywa cha malaya ni shimo lenye kina kirefu; hasira ya Yehova huchochewa dhidi ya yule anayetumbukia ndani yake.