sw_pro_text_reg/27/23.txt

1 line
247 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 23 Hakikisha unajua hali ya makundi yako na ujishughulishe juu ya makundi yako, \v 24 maana utajiri haudumu daima. Je taji hudumu kwa vizazi vyote? \v 25 Majani huondoka na ukuaji mpya huonekana na milima ya chakula cha mifugo hukusanywa ndani.