sw_pro_text_reg/22/22.txt

1 line
159 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 22 Usimwibie masikini kwa sababu ni masikini, au kumponda kwenye lango, \v 23 maana Yehova ataitetea kesi yao, na atawaibia uzima wale waliowaibia masikini.