sw_pro_text_reg/21/05.txt

1 line
206 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 5 Mipango ya mwenye juhudi huelekea kwenye mafanikio tu, bali kila mtu anayetenda kwa haraka huelekea umasikini. \v 6 Kujipatia utajiri kwa ulimi wa uongo ni mvuke unaopita upesi na mtego ambao unafisha.