Tue Jul 19 2022 09:36:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-19 09:36:03 +03:00
parent bb8f2149c4
commit 37933a00cb
3 changed files with 6 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Kisha Musa na Haruni wakawakusanya watu pamoja mbele ya ule mwamba. Ndipo Musa akawaambia, "Sasa sikilizeni, enyi wapinzani. Lazima tuwape maji kutoka kwenye huu mwamba?" \v 11 Ndipo Musa akanyosha mkono wake na kuupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake, na maji mengi yakatoka. Wale watu wakanywa pamoja na wanyama wao.
\v 10 Kisha Musa na Haroni wakawakusanya watu pamoja mbele ya ule mwamba. Ndipo Musa akawaambia, "Sasa sikilizeni, enyi wapinzani. Lazima tuwape maji kutoka kwenye huu mwamba?" \v 11 Ndipo Musa akanyosha mkono wake na kuupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake, na maji mengi yakatoka. Wale watu wakanywa pamoja na wanyama wao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kisha BWANA akamwambia Musa na Haruni, "Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya watu wa Israeli, hamtawaingiza hawa watu katika nchi niliyowaahidi. \v 13 Mahali hapa paliitwa maji ya Meriba kwa sababu wana wa Israeli walitofautiana na BWANA pale, na akajionyesha kwao kuwa mtakatifu.
\v 12 Kisha BWANA akamwambia Musa na Haroni, "Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya watu wa Israeli, hamtawaingiza hawa watu katika nchi niliyowaahidi. \v 13 Mahali hapa paliitwa maji ya Meriba kwa sababu wana wa Israeli walitofautiana na BWANA pale, na akajionyesha kwao kuwa mtakatifu.

View File

@ -352,6 +352,9 @@
"20-01",
"20-02",
"20-04",
"20-06"
"20-06",
"20-07",
"20-10",
"20-12"
]
}