Tue Jul 19 2022 08:48:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-19 08:48:03 +03:00
parent a2874ffb16
commit 328e382e14
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Watakutumikia wewe na hema yote. Hata hivyo, wasisogee karibu na chochote ndani ya mahali patakatifu au kitu chochote kilichounganishwa na madhabahu, vinginevyo wewe na wao mtakufa. \v 4 Wataungana na wewe na kuitunza hema ya kukutania, kwa kazi zote zinazohusiana na hema. Mtu mgeni asikusogelee. \v 5 Wewe utaajibika kwa ajili ya mahali patakatifu na kwa ajili ya madhabahu ili kwamba hasira yangu isiwajilie watu wa Israeli tena.
\v 3 Watakutumikia wewe na hema yote. Hata hivyo, wasisonge karibu na chochote ndani ya mahali pa patakatifu au kitu chochote kilichounganishwa na madhabahu, vinginevyo wewe na wao mtakufa. \v 4 Wataungana na wewe na kuitunza hema ya kukutania, kwa kazi zote zinazohusiana na hema. Mtu mgeni asikusogelee. \v 5 Wewe utaajibika kwa ajili ya mahali patakatifu na kwa ajili ya madhabahu ili kwamba hasira yangu isiwajilie watu wa Israeli tena.