From 328e382e144f37e1b34085ed1c4ad63e2e731b0a Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 19 Jul 2022 08:48:03 +0300 Subject: [PATCH] Tue Jul 19 2022 08:48:03 GMT+0300 (East Africa Time) --- 18/03.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/18/03.txt b/18/03.txt index fa9ae2c..bba4bcc 100644 --- a/18/03.txt +++ b/18/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 Watakutumikia wewe na hema yote. Hata hivyo, wasisogee karibu na chochote ndani ya mahali patakatifu au kitu chochote kilichounganishwa na madhabahu, vinginevyo wewe na wao mtakufa. \v 4 Wataungana na wewe na kuitunza hema ya kukutania, kwa kazi zote zinazohusiana na hema. Mtu mgeni asikusogelee. \v 5 Wewe utaajibika kwa ajili ya mahali patakatifu na kwa ajili ya madhabahu ili kwamba hasira yangu isiwajilie watu wa Israeli tena. \ No newline at end of file +\v 3 Watakutumikia wewe na hema yote. Hata hivyo, wasisonge karibu na chochote ndani ya mahali pa patakatifu au kitu chochote kilichounganishwa na madhabahu, vinginevyo wewe na wao mtakufa. \v 4 Wataungana na wewe na kuitunza hema ya kukutania, kwa kazi zote zinazohusiana na hema. Mtu mgeni asikusogelee. \v 5 Wewe utaajibika kwa ajili ya mahali patakatifu na kwa ajili ya madhabahu ili kwamba hasira yangu isiwajilie watu wa Israeli tena. \ No newline at end of file