sw_num_text_reg/07/15.txt

1 line
351 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 15 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, kondoo dume mmoja na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja. \v 16 Alitoa beberu kama kama sadaka ya hatia. \v 17 Alitoa makisai mbili, kondoo waume watano, beberu watano na wanakondoo dume watano wenye umri wa mwaka mmoja mmoja, kama sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu.