sw_neh_text_reg/11/10.txt

1 line
363 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 10 Kutoka kwa makuhani Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini, \v 11 Seraya mwana wa Hilikia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayoti, mwana wa Ahitubu, mkuu wa nyumba ya Mungu, \v 12 na wenzake waliofanya kazi ya ukoo, watu 822. na Adaya mwana wa Yerohamu, mwana wa Pelalia, mwana wa Amzi, mwana wa Zekaria, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya.