Sat Jul 02 2022 14:03:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-02 14:03:31 +03:00
commit d678d3db97
167 changed files with 233 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Maneno ya Nehemia mwana wa Hakalia Ikawa, katika mwezi wa Kisleu, katika mwaka wa ishirini, nilikuwa katika mji mkuu wa Sushani, \v 2 mmoja wa ndugu zangu, Hanani, alikuja pamoja na watu wengine kutoka Yuda, nami nikawauliza kuhusu Wayahudi waliopona, Wayahudi waliosalia waliokuwa huko, na kuhusu Yerusalemu.

1
01/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakaniambia, "Wale waliokuwa katika mkoa ule waliookoka katika kifungo wapo katika shida kubwa na aibu kwa sababu ukuta wa Yerusalemu umebomolewa na milango yake imeteketezwa kwa moto."

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Na mara tu niliposikia maneno haya, nikakaa na kulia, na kwa siku niliendelea kuomboleza na kufunga na kuomba mbele ya Mungu wa mbinguni. \v 5 Ndipo nikasema, "Wewe ndiwe Bwana, Mungu wa mbinguni, Mungu uliye mkuu na kushangaza, unayetimiza agano na upendo wa kudumu pamoja na wale wanaokupenda na kushika amri zake.

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sikiliza maombi yangu na fungua macho yako, ili uisikie sala ya mtumishi wako kwamba sasa nasali mbele yako mchana na usiku kwa ajili ya watu wa Israeli watumishi wako. Mimi ninakiri dhambi za watu wa Israeli, ambazo tumefanya dhidi yako. Wote mimi na nyumba ya baba yangu tumefanya dhambi. \v 7 Tumefanya uovu sana juu yako, na hatukuzingatia amri, sheria, na hukumu ambazo ulimwamuru mtumishi wako Musa.

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Tafadhali kumbuka neno ulilomuamuru mtumishi wako Musa, 'mkitenda pasipo uaminifu, nitawatawanya kati ya mataifa, \v 9 lakini mkirudi kwangu na kufuata amri zangu na kuzifanya, ingawa watu wako walienea chini ya mbingu za mbali, Nami nitawakusanya kutoka huko na kuwaleta mahali pale nilipopachagua ili kulifanya jina langu.'

1
01/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Sasa wao ni watumishi wako na watu wako, ambao uliwaokoa kwa nguvu yako kubwa na kwa mkono wako wenye nguvu. \v 11 Bwana, naomba, sikiliza sasa maombi ya watumishi wako na sala ya watumishi wako ambao hufurahia kuheshimu jina lako. Sasa unifanikishe mimi mtumishi wako leo, na unijalie rehema mbele ya mtu huyu." Nilikuwa mnyweshaji wa mfalme.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Katika mwezi wa Nisani, katika mwaka wa ishirini wa mfalme Artashasta, alichagua divai, na nikachukua divai na kumpa mfalme. Sasa sikuwahi kusikitikaa mbele yake. \v 2 Lakini mfalme akaniambia, "Kwa nini uso wako una huzuni? Hauonekani kuwa mgonjwa. Hii lazima iwe huzuni ya moyo." Kisha nikaogopa sana.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Nikamwambia mfalme, "Mfalme aishi milele! Kwa nini uso wangu usiwe na huzuni? ikiwa mji, mahali pa makaburi ya baba yangu, uko katika magofu, na malango yake yameharibiwa kwa moto."

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Ndipo mfalme akaniambia, "Unataka nini nifanye?" Kwa hiyo nikamwomba Mungu wa mbinguni. \v 5 Nikamwambia mfalme, "Mfalme akiona vema, na ikiwa mtumishi wako amefanya vizuri machoni pako, unaweza kunituma Yuda, mji wa kaburi za baba zangu, ili nipate kuujenga tena." \v 6 Mfalme akanijibu (na malkia pia alikuwa amekaa karibu naye), "Utakaa kawa muda gani mpaka urudi?" Mfalme akaona vema kunipeleka nami nikampka muda.

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ndipo nikamwambia mfalme, "Ikiwa itampendeza mfalme, nipe barua kwa ajili ya wakuu ng'ambo ya Mto, ili wapate kuniruhusu nipite katika maeneo yao njiani kwenda Yuda. \v 8 Pia iwepo barua kwa Asafu, mlinzi wa msitu wa mfalme, ili anipe miti ya kufanya mihimili ya malango ya ngome karibu na hekalu, na kwa ukuta wa mji, na kwa nyumba ambayo Nitaishi." Kwa hiyo kwa sababu mkono mzuri wa Mungu ulikuwa juu yangu, mfalme alinipa hitaji langu.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Nilifika kwa wakuu ng'ambo ya Mto, na kuwapa barua za mfalme. Basi mfalme alikuwa amepeleka maofisa wa jeshi na wapanda farasi pamoja nami. \v 10 Sanbalati Mhoroni na Tobbia mtumishi wa Amoni waliposikia jambo hili, walipendezwa sana kwa kuwa mtu alikuja ambaye alikuwa akijaribu kuwasaidia watu wa Israeli.

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Basi, nikarudi Yerusalemu, na nilikuwa huko siku tatu. \v 12 Niliamka usiku, mimi na watu wachache pamoja nami. Sikumwambia mtu yeyote kile Mungu wangu alichoweka ndani ya moyo wangu kufanya Yerusalemu. Hakukuwa na mnyama pamoja nami, isipokuwa yule niliyekuwa nimempanda.

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Niliondoka usiku kwa njia ya lango la bondeni, kuelekea kisima cha joka na kwenye mlango wa jaa, na kukagua kuta za Yerusalemu, ambazo zimebomolewa, na milango ya mbao iliharibiwa na moto. \v 14 Kisha nikaenda kwenye lango na Chemchemi ya Mfalme. Nafasi ilikuwa nyembamba sana kwa mnyama niliyekuwa nimempanda kupita.

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Kwa hiyo nilikwenda usiku huo kando ya bonde na kuchunguza ukuta, nikarudi nyuma na kuingia kwa lango la bondeni, na hivyo nikarudi. \v 16 Watawala hawakujua nilipokwenda au kile nilichofanya, na sikuwaambia Wayahudi, wala makuhani, wala wakuu, wala watawala, wala wengine waliofanya kazi hiyo.

1
02/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Nikawaambia, "Unaona shida tuliyo nayo, jinsi Yerusalemu iko katika magofu na milango yake imeharibiwa kwa moto. Njoni, tujenge upya ukuta wa Yerusalemu, ili tusiwe na aibu tena." \v 18 Niliwaambia kuwa mkono mzuri wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu na pia kuhusu maneno ya mfalme ambayo aliniambia. Wakasema, "Hebu tuondoke na kujenga." Kwa hiyo wakaimarisha mikono yao kwa ajili ya kazi nzuri.

1
02/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Lakini Sanbalati Mhoroni, na Tobia mtumishi wake Mwamoni, na Geshemu, Mwarabu, waliposikia habari hiyo, wakatucheka na kututukana; wakasema, "Unafanya nini? Je, unamgombana na mfalme?" \v 20 Ndipo nikawajibu, "Mungu wa mbinguni atatupa ufanisi. Sisi ni watumishi wake na tutaondoka na kujenga. Lakini huna sehemu, hakuna haki, na hakuna dai la kihistoria huko Yerusalemu."

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Eliashibu, kuhani mkuu, akasimama pamoja na ndugu zake makuhani, wakajenga lango la kondoo. Walitakasa na kuweka milango yake. Waliweka wakfu hadi mnara wa Hamea na hadi mnara wa Hananeli. \v 2 Baada yao watu wa Yeriko walijenga, na baada yao Zakuri mwana wa Imri alijenga.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wana wa Senaa wakajenga lango la samaki. Wanaweka mihimili yake na kuweka milango yake na vyuma vyake na makomeo yake. \v 4 Meremoth aliandaa sehemu inayofuata. Yeye ni mwana wa Uria mwana wa Hakosi. Na baada yao Meshulamu akatengeneza. Yeye ni mwana wa Berekia mwana wa Meshezabeli. Karibu nao Sadoki akatengeneza. Yeye ni mwana wa Baana. \v 5 Baada yao Watekoi wakatengeneza, lakini viongozi wao walikataa kufanya kazi iliyoagizwa na wakuu wao.

1
03/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Yoyada mwana wa Pasea, na Meshulamu mwana wa Besodeya, walitengeneza lango la Kale. Wanaweka mihimili, na kuweka milango yake na vyuma vyake na makomeo yake. \v 7 Nao, Melatia Mgibeoni, na Yadoni Meronothi, watu wa Gibeoni na Mispa, walifanyia matengenezo juu ya sehemu ambapo mkuu wa mkoa wa ng'ambo ya Mto aliishi.

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Na baada yake Uzieli mwana wa Harhaya, mmoja wa wafua dhahabu, akatengeneza; na baada yake Hanania, mtengenezaji wa manukato. Wakajenga tena Yerusalemu mpaka Ukuta mpana. \v 9 Na baada yao Refaya mwana wa Huri akajenga. Alikuwa mtawala wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu. \v 10 Na baada yao Yedaya mwana wa Harumafu akajenga karibu na nyumba yake. Na baada yake Hatushi mwana wa Hashabneya akajenga.

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Malkiya mwana wa Harimu na Hashubu mwana wa Pahat Moabu, wajenga sehemu nyingine pamoja na mnara wa tanuu. \v 12 Baada yao Shalumu mwana wa Haloheshi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, akajenga, pamoja na binti zake.

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Hanuni na wenyeji wa Zanoa walijenga lango la bondeni. Walijenga tena na kuweka milango yake, na vyuma vyake na makomeo yake. Walijenga dhiraa elfu hadi lango la jaa.

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Malkiya, mwana wa Rekabu, mkuu wa wilaya ya Beth-Hakeremu, akajenga lango la jaa. Alijenga na kuweka milango yake, na vyuma vyake na makomeo yake. \v 15 Shalumu mwana wa Kolhoze, mkuu wa wilaya ya Mispa, akajenga lango la Chemchemi. Alijenga, na kuweka kifuniko juu yake na kuweka milango yake na vyuma vyake na makomeo yake. Alijenga upya ukuta wa Pwani wa Silowamu kwa bustani ya mfalme, hadi ngazi ya kuongoza kutoka mji wa Daudi.

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Nehemia mwana wa Azbuki, mtawala wa nusu ya wilaya ya Beth-suri, akajenga mahali hapo, toka maburini ya Daudi, mpaka birika lililojengwa na watu, na nyumba ya watu wenye nguvu. \v 17 Baada yake, Walawi walijenga, pamoja na Rehumi mwana wa Bani na baada yake, Hashabia, mtawala wa nusu ya wilaya ya Keila, kwa wilaya yake.

1
03/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Baada yake watu wa nchi zao walijenga, ikiwa ni pamoja na Binui mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Keila. \v 19 Baada yake alijenga Ezeri, mwana wa Yeshua, mtawala wa Mispa, alijenga sehemu nyingine kuelekea ghala ya silaha, kwenye kona ya ukuta.

1
03/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Baada yake Baruki, mwana wa Zakai, akajenga kwa hiari sehemu nyingine, toka kona ya ukuta mpaka mlango wa nyumba ya Eliashibu, kuhani mkuu. \v 21 Baada yake Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, akajenga sehemu nyingine, toka mlango wa nyumba ya Eliashibu mpaka mwisho wa nyumba ya Eliashibu.

1
03/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha baada yake makuhani, watu wa eneo hilo karibu na Yerusalemu, walijenga. \v 23 Baada yao Benyamini na Hashubu walijenga kuielekea nyumba yao. Baada yao Azaria mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, alijenga karibu na nyumba yake. \v 24 Baada yake Binui mwana wa Henadadi akajenga sehemu nyingine, kutoka nyumba ya Azaria hadi kona ya ukuta.

1
03/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Palali, mwana wa Uzai, akajenga juu ya kona ya ukuta na mnara unaoenea juu kutoka nyumba ya juu ya mfalme katika uwanda wa walinzi. Baada yake Pedaya mwana wa Paroshi akajenga. \v 26 Sasa watumishi wa hekalu waliokaa Ofeli walijenga mpaka upande wa Hifadhi ya Maji upande wa mashariki wa mnara unaojitokeza. \v 27 Baada yake, Watekoi walijenga sehemu nyingine, kuelekea mnara mkubwa ulio nje, mpaka ukuta wa Ofeli.

1
03/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Makuhani wakajenga juu ya lango la farasi, kila mmoja kuelekea nyumba yake. \v 29 Baada yao Sadoki, mwana wa Imeri, alijenga sehemu hiyo kuelekea nyumba yake. Na baada yake Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki, akajenga. \v 30 Baada yake Hanania, mwana wa Shelemia, na Hanuni, mwana wa sita wa Salafu, wakajenga sehemu nyingine. Meshulamu mwana wa Berekia akajenga kuelekea kwenye vyumba vyake.

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Baada yake Malkiya, mmoja wa wafua dhahabu, akajenga mpaka nyumba ya watumishi wa hekalu na wafanyabiashara waliokuwa wakielekea lango la gereza na mpaka chumba cha juu cha pembeni. \v 32 Wafanyabiashara wa dhahabu na wafanyabiashara walijenga kati ya chumba cha juu cha kona na Lango la Kondoo.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sanbalati alipoposikia tulikuwa tukijenga ukuta, akaghadhabika ndani yake, naye akakasirika sana, akawacheka Wayahudi. \v 2 Mbele ya ndugu zake na jeshi la Samaria, akasema, "Wayahudi dhaifu hawa wanafanya nini? Je, watajifanyia mji wenyewe? Je, watatoa dhabihu? Je, wataimaliza kazi siku moja? Je! Watawaletea mawe kutoka kwenye kifusi baada ya kuchomwa moto? \v 3 Tobia Mwamoni alikuwa pamoja naye, naye akasema, 'Ikiwa tu mbweha angepanda juu ya hichi wanachokijenga, angeubomoa ukuta huo wa mawe."

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Tusikilize, Mungu wetu, kwa maana sisi tunatukanwa. Rudisha malalamiko yao juu ya vichwa vyao wenyewe na kuwapa wapate kutekwa katika nchi ambapo wao ni wafungwa. \v 5 Usiufunike uovu wao, wala usiondoe dhambi zao mbele yako; kwa sababu wamewachukiza wanaojenga. \v 6 Kwa hiyo tulijenga ukuta na ukuta wote uliunganishwa kwa nusu ya urefu wake, kwa kuwa watu walikuwa na hamu ya kufanya kazi

1
04/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Lakini Sanbalati, Tobia, Waarabu, Waamoni, na Waashdodi waliposikia kwamba kazi ya ukarabati wa kuta za Yerusalemu ilikuwa ikiendelea, na kwamba sehemu zilizovunjika katika ukuta zilikuwa zimefungwa, ghadhabu kubwa ikawaka ndani yao. \v 8 Wote walifanya shauri pamoja, na walikuja kupigana dhidi ya Yerusalemu na kusababisha machafuko ndani yake. \v 9 Lakini tuliomba kwa Mungu wetu na kuweka walinzi kama ulinzi dhidi yao mchana na usiku kwa sababu ya tishio lao.

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kisha watu wa Yuda wakasema, "Nguvu ya wale wanaobeba mizigo inashindwa. Kuna kifusi kikubwa, na hatuwezi kujenga ukuta." \v 11 Na adui zetu wakasema," Wala hawatajua au kuona mpaka tutakapokuja kati yao na kuwaua, na kuisimamisha kazi."

1
04/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wakati huo Wayahudi waliokuwa wakiishi karibu nao walitoka pande zote na kuzungumza nasi mara kumi, wakituonya juu ya mipango waliyofanya dhidi yetu. \v 13 Kwa hiyo nikaweka watu katika sehemu za chini za ukuta katika sehemu zilizo wazi. Niliweka kila familia wenye upanga, mikuki, na upinde. \v 14 Nikatazama, nikasimama, nikawaambia wakuu, na watawala, na watu wengine, "Msiogope. mkumbukeni Bwana, ambaye ni mkuu na wa kushangaza. Wapiganie ndugu zenu, wana zenu, binti zenu, wake zenu na nyumba zenu.

1
04/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Ilipokuwa wakati adui zetu waliposikia kwamba mipango yao ilikuwa inayojulikana kwetu, na Mungu alikuwa amebatilisha mipango yao, sote tulirudi ukutani, kila mmoja kwa kazi yake. \v 16 Kwa hiyo tangu wakati huo nusu ya watumishi wangu walifanya kazi tu juu ya kujenga ukuta, na nusu yao wakaishika mikuki, ngao, pinde, na kuvaa silaha, wakati viongozi walisimama nyuma ya watu wote wa Yuda.

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Na hivyo wafanyakazi haohao ambao walikuwa wakijenga ukuta na kubeba mizigo walikuwa pia wakilinda nafasi zao. Kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono mwingine alikuwa na silaha yake. \v 18 Kila mjenzi alivaa upanga wake ubavuni mwake na ndivyo alivyojenga. Yule aliyepiga tarumbeta akakaa karibu nami.

1
04/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Niliwaambia wakuu na viongozi na watu wengine, "Kazi ni nzuri na ya kina, na tumejitenga kwenye ukuta, mbali na mtu mwingine. \v 20 Lazima mkimbilie mahali ambapo mtasikia sauti ya tarumbeta na kusanyika huko. Mungu wetu atatupigania."

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa hiyo tulifanya kazi hiyo. Nusu yao walikuwa wakichukua mikuki kutoka kupambazuka asubuhi hadi kutokea kwa nyota. \v 22 Nikawaambia watu wakati huo, "Kila mtu na mtumishi wake waende usiku katikati ya Yerusalemu, ili wawe walinzi wakati wa usiku na mfanyakazi wakati huo." \v 23 Basi si mimi, wala ndugu zangu, wala watumishi wangu, wala watu wa walinzi waliokuwa wananifuata, hakuna hata mmoja wetu aliyebadili nguo zake, na kila mmoja wetu alichukua silaha yake, hata kama angeenda kwa ajili ya kuteka maji.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha wale wanaume na wake zao wakalia kwa nguvu dhidi ya Wayahudi wenzao. \v 2 Kwa maana kulikuwa na baadhi ya watu ambao walisema, "Sisi na wana wetu na binti zetu tupo wengi. Basi hebu tupate nafaka tuweze kula na tukae tuishi." \v 3 Pia kulikuwa na baadhi ya watu ambao walisema, "Tunaweka rehani mashamba yetu, mizabibu yetu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa."

1
05/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Wengine pia walisema, "Tumekopesha pesa kulipa kodi ya mfalme kwenye mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu. \v 5 Hata hivyo sasa miili yetu na damu ni sawa na ndugu zetu, na watoto wetu ni sawa na watoto wao. Tunalazimishwa kuuza wana wetu na binti zetu kuwa watumwa. Baadhi ya binti zetu tayari wamekuwa watumwa. Lakini hatuna nguvu za kusaidia kwa sababu watu wengine sasa wana mashamba yetu na mizabibu yetu."

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nilikasirika sana niliposikia kilio chao na maneno haya. \v 7 Kisha nikafikiri juu ya hili, na kuleta mashtaka dhidi ya wakuu na viongozi. Nikawaambia, "Ninyi mnatafuta riba, kila mmoja kutoka kwa ndugu yake mwenyewe." Nikakutanisha kusanyiko kubwa juu yao \v 8 na kuwaambia, "Sisi, kwa kadiri tulivyoweza, tumewakomboa toka utumwani ndugu zetu wa Kiyahudi ambao walikuwa wameuzwa kwa mataifa, lakini hata mnawauza ndugu na dada zenu ili wauzwe tena kwetu!" Walikuwa kimya na hawakupata neno la kusema.

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Pia nikasema, 'Mnachokifanya sio kizuri. Je, hampaswi kutembea katika hofu ya Mungu wetu ili kuzuia malalamiko ya mataifa ambayo ni adui zetu? \v 10 Mimi na ndugu zangu na watumishi wangu tunawapa fedha na nafaka. Lakini lazima tuache kutoza riba juu ya mikopo hii. \v 11 Warudishieni leo leo mashamba yao, mizabibu yao, mashamba yao ya mizeituni, na nyumba zao na asilimia ya fedha, nafaka, divai mpya, na mafuta mliyowatoza."

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wakasema, "Tutarudisha kile tulichochukua kutoka kwao, wala hatutahitaji kitu kutoka kwao. Tutafanya kama unavyosema." Ndipo nikawaita makuhani, na kuwaapisha kuwafanya kama walivyoahidi. \v 13 Nikakung'uta vazi langu, nikasema, "Basi Mungu aondoe nyumba na mali ya kila mtu asiyetimiza ahadi yake. Kwa hiyo akung'utwe na kuwa hana kitu. Kusanyiko lote likasema "Amina," na wakamsifu Bwana. Na watu wakafanya kama walivyoahidi.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kwa hiyo tangu wakati niliowekwa kuwa mkuu wao katika nchi ya Yuda, tangu mwaka wa ishirini mpaka mwaka wa thelathini na pili wa mfalme Artashasta, miaka kumi na miwili, mimi na ndugu zangu hatukula chakula kilichotolewa kwa gavana. \v 15 Lakini wakuu wa zamani waliokuwa kabla yangu waliwaweka watu mizigo mizito, na wakachukua kwao shekeli arobaini za fedha kwa ajili ya chakula na divai yao ya kila siku. Hata watumishi wao waliwadhulumu watu. Lakini sikufanya hivyo kwa sababu ya hofu ya Mungu.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Niliendelea kufanya kazi kwenye ukuta, na hatukununua ardhi. Na watumishi wangu wote walikusanyika huko kwa ajili ya kazi hiyo. \v 17 Katika meza yangu walikuwa Wayahudi na maafisa, watu 150, isipokuwa wale waliokuja kwetu kutoka kwa mataifa waliokuwa wakituzunguka.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kila kitu kilichoandaliwa kila siku kilikuwa ng'ombe moja, kondoo sita waliochaguliwa, na ndege, na kila siku kumi aina zote za divai nyingi. Na hata kwa haya yote sikuhitaji mahitaji ya chakula cha gavana, kwa sababu madai yalikuwa mazito sana juu ya watu. \v 19 Nikumbuke, Ee Mungu wangu, kwa wema, kwa sababu ya yote niliyoyafanya kwa watu hawa.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wakati Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu na adui zetu wengine waliposikia kwamba nilijenga upya ukuta na kwamba hakuna sehemu yoyote iliyoachwa ya wazi, ingawa sijawaweka milango katika malango, \v 2 Sanbalati na Geshemu akatuma wajumbe akasema, "Njoni, tukutane pamoja mahali fulani katika tambarare ya Ono." Lakini walitaka kunidhuru.

1
06/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Niliwatuma wajumbe kwao, nikasema, "Ninafanya kazi kubwa na siwezi kushuka. Kwa nini kazi isimame wakati nitakapoondoka na kuja kwako?" \v 4 Walituma ujumbe huo huo mara nne, na mimi niliwajibu vile vile kila wakati.

1
06/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Sanbalati alimtuma mtumishi wake kwangu kwa njia ile ile mara ya tano, na barua iliyo wazi mkononi mwake. \v 6 Imeandikwa, "Inaripotiwa kati ya mataifa, na Geshemu pia anasema, kwamba wewe na Wayahudi mna mpango wa kuasi, kwa sababu hiyo ndio mnajenga ukuta. Kutokana na taarifa hizi, unakaribia kuwa mfalme wao.

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Nawe umewachagua manabii kutangaza habari zako juu ya Yerusalemu, wakisema, "Kuna mfalme huko Yuda!" Unaweza kuwa na hakika mfalme atasikia ripoti hizi. Basi, hebu njoo tuzungumze.

1
06/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kisha nikamtuma neno nikisema, "mambo kama hayo hayajafanyika kama unavyosema, kwa maana ndani ya moyo wako umeyabuni." \v 9 Kwa maana wote walitaka kututisha, wakifikiri, "Wataacha mikono yao kufanya kazi hiyo, na haitafanyika." Lakini sasa, Mungu, tafadhali imarisha mikono yangu.

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Nikaenda nyumbani kwa Shemaya mwana wa Delaya, mwana wa Mehetabeli, aliyefungwa nyumbani mwake. Akasema, "Hebu tukutane pamoja katika nyumba ya Mungu, ndani ya hekalu, na tufunge milango ya hekalu, kwa maana wanakuja kukuua. Usiku wanakuja kukuua." \v 11 Nikajibu, "Je! Mtu kama mimi ninaweza kukimbia? Na mtu kama mimi ninaweza kuingia hekaluni ili nipate kuishi? Sitaingia."

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Niligundua kwamba sio Mungu aliyemtuma, lakini alikuwa amefanya unabii dhidi yangu. Tobia na Sanbalati walimwajiri. \v 13 Walimpa kazi kunifanya niwe na hofu, ili nifanye kile alichosema na kutenda dhambi, hivyo wangeweza kunipa jina baya ili kuniaibisha. \v 14 Mungu wangu, wakumbuke Tobia na Sanbalati, na yote waliyofanya. Pia mkumbuke nabii Noadia na manabii wengine ambao walijaribu kunifanya niogope.

1
06/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Kwa hiyo ukuta ukamalizika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, baada ya siku hamsini na mbili. \v 16 Adui zetu wote waliposikia hayo, mataifa yote yaliyotuzunguka, waliogopa na wakakata tamaa sana machoni pao wenyewe. Kwa maana walijua kazi hiyo ilifanyika kwa msaada wa Mungu wetu.

1
06/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wakati huu wakuu wa Yuda walituma barua nyingi kwa Tobia, na barua za Tobia zikawajia. \v 18 Kwa maana walikuwa wengi huko Yuda waliofungwa kwa kiapo chake, kwa sababu alikuwa mkwewe Shekania, mwana wa Ara. Mwanawe Yehohanani alikuwa amekuwa mkewe Meshulamu mwana wa Berekia. \v 19 Pia walizungumza nami kuhusu matendo yake mema na kumwambia maneno yangu. Barua zililetwa kwangu kutoka kwa Tobia kunitisha.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wakati ukuta ulipomalizika na milango nimekwisha kuisimamisha, na walinzi wa malango na waimbaji na Walawi walikuwa wamechaguliwa, \v 2 nikampa ndugu yangu Hanani kuwa na amri juu ya Yerusalemu, pamoja na Hanania ambaye alikuwa msimamizi wa kijiji, kwa kuwa alikuwa mwaminifu na alimuogopa Mungu zaidi kuliko wengi.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Nami nikawaambia, Msifungue malango ya Yerusalemu mpaka jua litakapokuwa kali. Wakati walinzi wa mlango wanalinda, unaweza kufunga milango na kuikaza. Chagua walinzi kutoka kwa wale wanaoishi Yerusalemu, wengine mahali pa kituo chao cha ulinzi, na wengine mbele ya nyumba zao wenyewe. \v 4 Sasa jiji lilikuwa pana na kubwa, lakini kulikuwa na watu wachache ndani yake, na hakuna nyumba zilizojengwa tena.

1
07/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Mungu wangu aliweka moyoni mwangu, kuwakusanya pamoja wakuu, maafisa, na watu kuwaandikisha katika familia zao. Nilipata Kitabu cha kizazi cha wale ambao walirudi kwanza na nikaona kwamba imeandikwa humo.

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Hawa ndio watu wa jimbo ambao walikwenda kutoka kwenye uhamisho wa wale waliohamishwa ambao Nebukadreza mfalme wa Babeli aliwachukua mateka. Wakarudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenda kwenye mji wake. \v 7 Walikuja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana. Idadi ya wana wa Israeli ilikuwa.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wana wa Paroshi, 2, 172. \v 9 Wana wa Shefatia, 372. \v 10 Wana wa Ara, 652.

1
07/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Wana wa Pahath Moabu, \v 12 kwa wana wa Yeshua na Yoabu, 2, 818. \v 13 Wana wa Elamu, 1, 254. \v 14 Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760.

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Wana wa Binnui, 648. \v 16 Wana wa Bebai, 628. \v 17 Wana wa Azgadi, 2, 322. \v 18 Wana wa Adonikamu, 667.

1
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Wana wa Bigwai, 2, 067. \v 20 Wana wa Adini, 655. \v 21 Wana wa Ateri, wa Hezekia, 98. \v 22 Wana wa Hashumu, 328.

1
07/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Wana wa Besai, 324. \v 24 Wana wa Harifu, 112. \v 25 Wana wa Gibeoni, 95. \v 26 Watu kutoka Bethlehemu na Netofa, 188.

1
07/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Watu wa Anathothi, 128. \v 28 Watu wa Beth Azmaweth, 42. \v 29 Watu wa Kiriath Yearimu, Kefira, na Beerothi, 743. \v 30 Watu wa Rama na Geba, 621.

1
07/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Watu wa Mikmasi, 122. \v 32 Watu wa Betheli na Ai, 123. \v 33 Watu wa Nebo, 52. \v 34 Watu wa Elamu wa pili, 1, 254.

1
07/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Watu wa Harimu, 320. \v 36 Watu wa Yeriko, 345. \v 37 Watu wa Lodi, Hadidi, na Ono, 721. \v 38 Watu wa Senaa, 3, 930.

1
07/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 makuhani Wana wa Yedaya (wa nyumba ya Yeshua), 973. \v 40 Wana wa Imeri, 1, 052. \v 41 Wana wa Pashuri, 1, 247. \v 42 Wana wa Harimu, 1, 017.

1
07/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Walawi, wana wa Yeshua, wa Kadmieli, wa Binui, wa Hodavia, 74. \v 44 Waimbaji wana wa Asafu; 148. \v 45 Waliofungua mlango wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni; wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, 138.

1
07/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Watumishi wa Hekalu wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi, \v 47 wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni, \v 48 wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Salmai, \v 49 wana wa wa Hanani, wana wa Gideli, wana wa Gahari.

1
07/50.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 50 Wana wa Reaya, wana wa Resini, wana wa Nekoda, \v 51 wana wa Gazamu, wana wa Uza, wana wa Pasea, \v 52 wana wa Besai, wana wa Meunimu, wana wa Nefusimu.

1
07/53.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 53 Wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri, \v 54 wana wa Baslith, wana wa Mehida, wana wa Harsha, \v 55 wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema, \v 56 wana wa Nesia, wana wa Hatifa.

1
07/57.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 57 Wana wa Sulemani, wana wa Sotai, wana wa Sofeereth, wana wa Peruda, \v 58 wana wa Yaala, wana wa Darkoni, wana wa Gideli, \v 59 wana wa Shefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokerethi Sebaimu, wana wa Amoni. \v 60 Watumishi wote wa hekalu, na wana wa watumishi wa Sulemani, walikuwa 392.

1
07/61.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 61 Hawa ndio watu waliokwenda kutoka Tel Mela, Tel harsha, Kerub, Addon, na Imeri. Lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba wao au jamaa za baba zao walikuwa wana wa Israeli, \v 62 wana wa Delaya, wana wa Tobia, na wana wa Nekoda, 642. \v 63 Na kutoka kwa makuhani Wana wa Habaya, Hakosi, na Barzilai ( akamchukua mkewe kutoka kwa binti za Barzilai wa Gileadi na akaitwa kwa jina lao).

1
07/64.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 64 Hawa walitafuta rekodi zao kati ya waliojiunga na kizazi chao, lakini hawakuweza kupatikana, kwa hivyo waliondolewa katika ukuhani kama walio najisi. \v 65 Naye mkuu wa gavana akawaambia wasiruhusiwe kula chakula cha makuhani kutoka kwenye dhabihu mpaka atakapoinuka kuhani mwenye Urimu na Thumimu.

1
07/66.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 66 Kusanyiko lote lilikuwa 42, 360, \v 67 isipokuwa watumishi wao wa kiume na watumishi wao wa kike, ambao walikuwa 7, 337. Walikuwa na wanaume na wanawake wa kuimba 245.

1
07/68.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 68 Farasi zao zilikuwa 736 kwa idadi, nyumbu zao, 245, \v 69 ngamia zao, 435, na punda zao, 6, 720.

1
07/70.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 70 Baadhi ya wakuu wa familia za baba zao walitoa zawadi kwa ajili ya kazi. Gavana alitoa sadaka ya darkoni elfu ya dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 ya makuhani. \v 71 Baadhi ya wakuu wa familia za baba zao waliwapa katika hazina kwa kazi darkroni elfu ishirini za dhahabu na mane 2, 200 za fedha. \v 72 Watu wengine waliwapa darkoni za dhahabu ishirini elfu, na dhahabu elfu mbili za fedha, na mavazi sitini na saba kwa makuhani.

1
07/73.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 73 Basi makuhani, Walawi, walinzi wa malango, waimbaji, watu wengine, watumishi wa hekalu, na Israeli wote waliishi katika miji yao. Hata mwezi wa saba watu wa Israeli walikuwa wakiishi katika miji yao."

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Watu wote walikusanyika kama mtu mmoja katika eneo la wazi mbele ya lango la maji. Wakamwomba Ezra mwandishi akilete Kitabu cha Sheria ya Musa, ambacho Bwana aliwaamuru Israeli. \v 2 Siku ya kwanza ya mwezi wa saba, Ezra, kuhani, akaleta sheria mbele ya mkutano, wanaume na wanawake, na wote waliokuwa na uwezo wa kusikia na kuelewa. \v 3 Akatizama eneo lililo wazi mbele ya lango la Maji, na akasoma toka asubuhi hadi adhuhuri, mbele ya wanaume na wanawake, na yeyote ambaye angeweza kuelewa. Na wote wakasikiliza kwa makini kitabu cha Sheria.

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Na Ezra, mwandishi, alisimama juu ya jukwaa la mbao ambalo watu walikuwa wametengeneza kwa kusudi hilo. Pembeni yake walisimama Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia na Maaseya, upande wake wa kuume; na Pedaya, Misbaeli, Malkiya, Hashumu, Hashbadani, Zekaria na Meshulamu walikuwa wamesimama upande wake wa kushoto. \v 5 Ezra alifungua kitabu mbele ya watu wote, kwa kuwa alikuwa amesimama juu ya watu, na alipoufungua watu wote wakasimama.

1
08/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Ezra akamshukuru Bwana, Mungu mkuu; na watu wote wakainua mikono yao, wakajibu, "Amina! Amina!" Wakainamisha vichwa vyao, wakamwabudu Bwana kwa nyuso zao zikiwa chini. \v 7 Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodai, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabidi, Hanania, Pelaya nao ni Walawi, waliwasaidia watu kuelewa sheria, watu wakakaa mahali pao. \v 8 Wao walisoma katika kitabu, Sheria ya Mungu, wakaeleza wazi kwa tafsiri na kutoa maana ili watu waelewe yaliyosomwa.

1
08/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Nehemia, gavana, na Ezra kuhani, na mwandishi, na Walawi waliokuwa wakitafsiri kwa watu, wakawaambia watu wote, Siku hii ni takatifu kwa Bwana, Mungu wenu. Msiomboleze au kulia. Kwa kuwa watu wote walilia wakati waliposikia maneno ya sheria. \v 10 Nehemia akawaambia, 'Nendeni, mle kilichonona, mkate na maji ya kunywa, na mpelekeni mtu asiye na kitu, kwa maana siku hii ni takatifu kwa Bwana wetu. Msiwe na huzuni, kwa kuwa furaha ya Bwana ni nguvu zenu.

1
08/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Basi Walawi wakawafanya watu kuwa na utulivu, wakisema, "Nyamazeni! kwa maana siku hii ni takatifu. Msiwe na huzuni." \v 12 Watu wote wakaenda kula na kunywa na kugawana chakula na kusherehekea kwa furaha kubwa kwa sababu walielewa maneno waliyohubiriwa.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Siku ya pili viongozi wa nyumba za mababu kutoka kwa watu wote, makuhani na Walawi, wakakusanyika kwa Ezra, mwandishi ili kupata ufahamu kutoka kwenye maneno ya sheria. \v 14 Wakaona imeandikwa katika sheria namna Bwana alivyomuamuru Musa kwamba wana wa Israeli waishi katika hema wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba. \v 15 Wanapaswa kutoa tamko katika miji yao yote, na huko Yerusalemu, wakisema, 'Nendeni nje kwenye nchi ya vilima, na mkalete matawi kutoka kwenye mzeituni mwitu, na matawi ya mihadsi, na matawi ya mitende na matawi ya miti minene ili kufanya vibanda vya muda kama ilivyoandikwa."

1
08/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Basi watu wakatoka na kuleta matawi, wakajifanyia mahema, kila mmoja juu ya paa zao, katika ua zao, katika mahakama za nyumba ya Mungu, mahali pa wazi pa lango la Maji, na katika mraba wa lango la Efraimu. \v 17 Kisha kusanyiko lote la wale waliorudi kutoka kifungoni wakafanya mahema na kukaa ndani yake. Kwa kuwa tangu siku za Yoshua, mwana wa Nuni hata siku hiyo, watu wa Israeli hawakuadhimisha sikukuu hii. Na furaha ilikuwa kubwa sana.

1
08/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Pia siku kwa siku, tangu siku ya kwanza hadi mwisho, Ezra alisoma kutoka Kitabu cha Sheria ya Mungu. Walifanya sikukuu kwa siku saba na siku ya nane kilikuwa na kusanyiko zuri, kwa utiifu wa amri.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Siku ya ishirini na nne ya mwezi huo huo watu wa Israeli walikusanyika, nao walikuwa wamefunga, nao walikuwa wamevaa magunia, nao wakaweka vumbi juu ya vichwa vyao. \v 2 Wazao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Walisimama na kukiri dhambi zao wenyewe na matendo maovu ya baba zao.

1
09/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Walisimama mahali pao, na robo ya siku walisoma kutoka Kitabu cha Sheria ya Bwana Mungu wao. Na robo nyingine ya siku walikiri na kuinama mbele ya Bwana Mungu wao. \v 4 Walawi, Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebaniya, Buni, Sherebia, Bani na Kenani, walisimama juu ya ngazi, wakamwita Bwana, Mungu wao kwa sauti kubwa.

1
09/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ndipo Walawi, na Yeshua, na Kadmieli, na Bani, na Hashabneya, na Sherebia, na Hodia, na Shebania, na Pethalia, wakasema, "Simameni, mkamsifu Bwana, Mungu wenu, milele na milele." "Libarikiwe jina lako tukufu, lililotukuka kuliko baraka zote na sifa zote. \v 6 Wewe ni Bwana. Wewe peke yako. Wewe umefanya mbinguni, mbingu za juu, na malaika wote wa vita vita, na dunia na kila kitu kilicho juu yake, na bahari na vyote vilivyomo. Unawapa wote uzima, na majeshi ya malaika wanakusujudia.

1
09/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Wewe ndiwe Bwana, Mungu aliyemchagua Abramu, akamtoa kutoka Uri wa Wakaldayo, akamwita Ibrahimu. \v 8 Uliona moyo wake ulikuwa mkamilifu mbele yako, nawe ukafanya pamoja naye agano la kuwapa wazao wake nchi ya Wakanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Perizi, na Myebusi, na Wagirgashi. Umeweka ahadi yako kwa sababu wewe ni mwenye haki.

1
09/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Uliona shida ya baba zetu Misri na ukasikia kilio chao kando ya bahari ya shamu. \v 10 Wewe ulifanya ishara na maajabu juu ya Farao, na watumishi wake wote, na watu wote wa nchi yake, kwa maana ulijua kwamba Wamisri walifanya kwa kujivunia. Lakini ulijifanyia jina ambalo linasimama hadi siku leo.

1
09/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Ukagawanya bahari mbele yao, wakavuka katikati ya bahari juu ya nchi kavu; na ukawatupa wale waliowa ndani ya kina, kama jiwe ndani ya maji ya kina.

1
09/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wewe uliwaongoza kwa nguzo ya wingu wakati wa mchana, na kwa nguzo ya moto wakati wa usiku, ili kuwamulikia njiani waweze kutembea katika nuru yake. \v 13 Ulishuka juu ya Mlima Sinai ukazungumza nao kutoka mbinguni ukawapa amri za haki na sheria za kweli, amri nzuri na maagizo.

1
09/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Uliwajulisha sabato yako takatifu, ukawapa amri, maagizo, na sheria kupitia Musa mtumishi wako. \v 15 Uliwapa chakula kutoka mbinguni kwa ajili ya njaa yao, na maji kutoka mwamba kwa kiu yao, ukawaambia waende kuimiliki nchi uliyowaapa kwa kiapo kuwapa.

1
09/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Lakini wao na baba zetu walifanya uasi, nao walikuwa wakaidi, wala hawakuzitii amri zako. \v 17 Walikataa kusikiliza, na hawakufikiri juu ya maajabu uliyofanya kati yao, lakini wakawa wakaidi, na katika uasi wao waliweka kiongozi ili wairudie hali ya utumwa. Lakini wewe ni Mungu ambaye amejaa msamaha, mwenye rehema na huruma, si mwepesi wa hasira, na wingi katika upendo thabiti. Wewe haukuwaacha.

1
09/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wala hukuwaacha hata walipokwisha kutoa ndama katika chuma kilichochomwa na kusema, "Huyu ndio Mungu wenu aliyekuleta kutoka Misri," wakati walipopotoka sana. \v 19 Wewe, kwa huruma yako, hukuwaacha katika jangwa. Nguzo ya wingu iliyowangoza njiani haikuwaacha wakati wa mchana, wala nguzo ya moto usiku iliwaangazia barabara ambayo walipaswa kutembea.

1
09/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Uliwapa Roho wako mzuri kuwafundisha, na mana yako haukuwanyima kinywani mwao, na ukawapa maji kwa kiu yao. \v 21 Kwa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, na hawakukosa chochote. Nguo zao hazikuchakaa na miguu yao haikuvimba.

1
09/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Uliwapa falme na watu, na ukawapa ardhi katika kila kona ya mbali. Basi wakaimiliki nchi ya Sihoni mfalme wa Heshboni, na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More