Wed Oct 26 2022 16:21:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-26 16:21:38 +03:00
parent 9f21ef5fe6
commit 767f27cb54
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, huku watu wake wakikimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, chukua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wa hazina , kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka.
\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, huku watu wake wakikimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, chukua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wa hazina , kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu; na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka.