From 767f27cb540f858481e77390d8ab21418473bac2 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Wed, 26 Oct 2022 16:21:38 +0300 Subject: [PATCH] Wed Oct 26 2022 16:21:38 GMT+0300 (East Africa Time) --- 02/08.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/02/08.txt b/02/08.txt index 7a6733f..e59f50d 100644 --- a/02/08.txt +++ b/02/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, huku watu wake wakikimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, chukua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wa hazina , kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka. \ No newline at end of file +\v 8 Ninawi ni kama bwawa la maji linalovuja, huku watu wake wakikimbia kama maji yanayotiririka. Wengine wanasema, " Simama, simama," lakini hakuna anayegeuka nyuma. \v 9 Chukua nyara ya fedha, chukua nyara ya dhahabu, maana hakuna mwisho wa hazina , kwa fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi. \v 10 Ninawi ipo tupu; na imeharibiwa. Moyo wa kila mtu unayeyuka, magoti ya kila mmoja yanagongana pamoja, na uchungu upo kwa kila mmoja; sura zao wote zimepauka. \ No newline at end of file