Sat Apr 09 2022 18:57:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-04-09 18:57:09 +03:00
parent 7f2c6b09b6
commit fea48a1b3e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 33 Yesu alimtoa mtu huyu nje ya kusanyiko kwa siri, na akaweka vidole vyake kwenye masikio yake, na baada ya kutema mate, aligusa ulimi wake. \v 34 Alitazama juu mbinguni, akahema na kumwambia, "Efata," hiyo ni kusema "funguka!" \v 35 Na muda ule ule masikio yakafunguka, na kilichokuwa kimezuia ulimi kiliharibiwa na akaweza kuongea vizuri.
\v 33 Yesu alimtoa mtu huyu nje ya kusanyiko kwa siri, na akaweka vidole vyake kwenye masikio yake, na baada ya kutema mate, aligusa ulimi wa yule mtu. \v 34 Yesu alitazama juu mbinguni, akahema na kumwambia, "Efata," hiyo ni kusema "funguka!" \v 35 Na muda ule ule masikio yakafunguka, na kilichokuwa kimezuia ulimi kiliharibiwa na akaweza kuongea vizuri.