Mon Mar 28 2022 21:15:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-28 21:15:26 +03:00
parent 5188a61d91
commit bc1f3f9a42
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipotimia, akasema nao wanafunzi wake, "Twendeni upande wa pili wa bahari". \v 36 Hivyo wakauacha umati, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi tayali ulikuwa umejaa.
\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipotimia, akasema nao wanafunzi wake, "Twendeni upande wa pili wa bahari". \v 36 Hivyo wakauacha umati, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi ya maji yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi tayali ulikuwa umejaa.