Mon Mar 28 2022 21:13:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-28 21:13:26 +03:00
parent e1a923616b
commit 5188a61d91
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipowadia, akasema kwao, "Twendeni upande wa pili". \v 36 Hivyo wakauacha umati, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi tayali ulikuwa umejaa.
\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipotimia, akasema nao wanafunzi wake, "Twendeni upande wa pili wa bahari". \v 36 Hivyo wakauacha umati, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi tayali ulikuwa umejaa.