Wed Apr 06 2022 18:06:44 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
dc682aa277
commit
60ca3015f6
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\v 22 Wakaja Bethsaida. Watu hao walimleta kwa Yesu mtu kipofu na wakamsihi Yesu amguse. \v 23 Yesu akamshika kwa mkono yule kipofu, na kumwongoza nje ya kijiji. Alipotema mate juu ya macho yake na kunyosha mikono yake juu yake, alimuuliza, "Unaona chochote?"
|
\v 22 Wakafika Bethsaida. Watu hao walimleta kwa Yesu mtu kipofu na wakamsihi Yesu amguse. \v 23 Yesu akamshika kwa mkono yule kipofu, na kumwongoza nje ya kijiji. Alipotema mate juu ya macho yake na kunyosha mikono yake juu yake, alimuuliza, "Unaona chochote?"
|
Loading…
Reference in New Issue