diff --git a/08/22.txt b/08/22.txt index b534566..d5fd089 100644 --- a/08/22.txt +++ b/08/22.txt @@ -1 +1 @@ -\v 22 Wakaja Bethsaida. Watu hao walimleta kwa Yesu mtu kipofu na wakamsihi Yesu amguse. \v 23 Yesu akamshika kwa mkono yule kipofu, na kumwongoza nje ya kijiji. Alipotema mate juu ya macho yake na kunyosha mikono yake juu yake, alimuuliza, "Unaona chochote?" \ No newline at end of file +\v 22 Wakafika Bethsaida. Watu hao walimleta kwa Yesu mtu kipofu na wakamsihi Yesu amguse. \v 23 Yesu akamshika kwa mkono yule kipofu, na kumwongoza nje ya kijiji. Alipotema mate juu ya macho yake na kunyosha mikono yake juu yake, alimuuliza, "Unaona chochote?" \ No newline at end of file